Makomandoo wa North Korea

Makomandoo wa North Korea

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,108
Reaction score
136,797
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.

Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.

Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.

Last edited by a moderator:
Komredi,

Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.

Ha hahaha! Eti busha kutibiwa ughaibuni, na baridi la ughaibuni sasa.....!?
BTW si majuzi kulikuwa na unywaji wa dawa ya kupambana na mabusha, mkuu alificha dawa nyuma ya mtungi!?
 
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.

Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?
 
Komredi,

Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.

Lol!....now this's funny....lol!
Now I know why mkulu's people didn't specify the nature of his trip to ughaibuni other than, "a medical check up"
Miafrika hamna dogo!
 
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.

Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea...

Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.

mkuu mbona unataka kunichekesha
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.

Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea...

Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.

tunapoita self defense unakuwa unaelewa maanake????sio mdawaote drone itafanya kazi kawaulize navy seal kama hawafanyi haya mambo tusiwe haters tuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.

Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?

Hahahaha..

Mkuu sio kidole ni mkono aisee..
 
tunapoita self defense unakuwa unaelewa maanake????sio mdawaote drone itafanya kazi kawaulize navy seal kama hawafanyi haya mambo tusiwe haters tuu

We hujui drones zinateka miji???!!!
Au hujui kuwa drones zinaweza kwenda front line??!!!
Yaani hujui drones zinaweza kwenda kukomboa mateka??!!

Acha mentality ya ki zamani!!!!

Watu hao walioendelea wangonga KRAV MAGA na JIU JITSU halafu wakwetu wanadhihakiwa!!!
 
Babu Asprin inawezekana professor alikimbia kutiwa vidole sehemu zile, huo ugonjwa wa busha hata Hospital ya Magomeni angetibiwa. Inawezekana aliogopa kufanyiwa hapa. Professor aliogopa wange mnanihino wakati amepitiwa na kale kausingizi cha kupigwa kisu.
 
We hujui drones zinateka miji???!!!
Au hujui kuwa drones zinaweza kwenda front line??!!!
Yaani hujui drones zinaweza kwenda kukomboa mateka??!!

Acha mentality ya ki zamani!!!!

Watu hao walioendelea wangonga KRAV MAGA na JIU JITSU halafu wakwetu wanadhihakiwa!!!

Drones haziwezi fanya kila kitu sawa na binamdamu ndiyo maana ISIS mashambulizi ya anga hayajafua dafu kwao ndiyo maana vinahitajika vikosi vya nchi kavu.
 
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.

Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?

Madaktari wa kibongo wangempima siku mbili picha Zingesambaa mitandaoni.
 
Wababe wao kutoka Korea Kusini

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom