Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,886
- 17,590
Nenda kampikie mmeo umtoe klopp hapo umuweke naniYani unaacha kumuweka Arsene Wenger aliyemtengeneza George Weah mwenye Ballon D'or unamuweka Ten Hag? Kuweni basi na heshima walau.
Kwanza hata Jurgen Klopp hafai kukaa katika hiyo list, Mourinho ndiye aliyetakiwa kuwepo hapo badala yake.