Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Nadhani jamaa alifanikiwa kumwaga story ndio maana na ww umetupa hapa kupitia kwa pg
 
Kut.omba demu mpya nayo ni adventure...
muhimu kuwa makini.....lkn pia kama uchi wa fisi bni mtamu na hauna madhara...
wanawake zetu waweke tu kiroho safi
 
Hili nalo linafikirisha sana. Nywele zetu saluni sijui huwa wanazipileka wapi?
 
Ukienda club au sehemu za starehe..epuka kuepua mademu mida iliyopitiliza..kuanzia saa nane tisa n.k wale huwa ni majini.
 
Kiongozi kwa hiyo ukioa/olewa huyo mwenza hayo mamikosi na maroho yanatokaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…