Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,402
- 4,705
Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!
Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!
KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!
Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!
Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako
Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako
Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako
Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema
Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...
Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!
Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Hivi kuna dawa za kugutuka endapo ukakutana na mazingira sio kama kuvusha mizigo hio au hata mzigo wa kitaa ambao sio? Na ikuaje kitu kinagoma au miguu haiendi au unaambiwa sauti usiende, au unapigwa kofi bila kuona mtu hio ikoje ili uweze kuyashinda hayo maana maisha ndio haya lakini lazima yaendelee, karibu Ndugu La Proffessee Mshana



