Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...!

Mateka wa kiroho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!

Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako

Tamaa ya mara moja inaweza kusambaratisha familia yako

Tamaa ya mara moja inaweza kupoteza kazi yako

Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema

Tamaa ya mara moja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Mkuu picha ya bibie itakuwa muhimu sana maana tusije kujikuta tumebeba mzigo ikawa balaa tena sheikh.
 
Usikute hata hawa bongo movie watu wanawasifia warembo wanavutia kumbe nao wanaendaga kujipiga polish wasichuje wazidi kuvuta wateja😂😂😂😂😂
 
Usikute hata hawa bongo movie watu wanawasifia warembo wanavutia kumbe nao wanaendaga kujipiga polish wasichuje wazidi kuvuta wateja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe mwenyewe unadhani upo sawa?
Nyie ndio wale enzi za shule mnapokelea watu mitihani yao ikiitwa mbele
𝐍𝐢𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞 𝐜𝐨𝐦𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐜𝐡𝐨𝐜𝐡𝐨𝐭𝐞 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐳𝐢.

𝗄𝖺𝗋𝗂𝖻𝗎 𝗍𝖾𝗇𝖺 𝗆𝖺𝗌𝗄𝖾𝖽 𝗆𝗂𝗇𝖽
 
Nina jamaa yangu tokea 4m2 ananunua mpaka sasa, anavijua viwanja vyote Dar huyu sijui atakuwa nao wangapi.
 
Dah hivi kakufanyia hivyo ushikamane nae Mara paa ghafla kafa,Vipi so ndo ntakuwa naenda kulala juu ya kaburi usiku.au akifa na tego linakufa?.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akifa ni afadhali yako maana kishikio kitakuwa kimekatika.. Ni sawa na hasi na chanya moja ichomoke..! Usije ukamuua kwa makusudi lakini[emoji23]
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Kha!kha!kha!, Tobaaa.
 
Back
Top Bottom