Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,142
- 40,467
Na wewe kwa nn ulikula?
- Nilikuwa nimemzoea (alikuwa amefanya kazi kwa zaidi ya miezi 6 bila matendo ya ajabu)
- Kukosa uzoefu wa maisha (hivyo vitu nilikua siviamini kabisa, ila wahenga wanasema kua uyaone) !
- Ujinga (kuamini watu hawana nia mbaya na mimi, nilikuwa nachukulia watu wanamema zaidi ya mabaya)