Mkuu
Kipangaspecial nimeelezea yote hayo hata baraka pia hubeba lakini ni nadra sana. Sasa hapo hutegemea ni yupi kati yenu mwenye baraka na yupi mwenye zigo la misumari, huenda yeye ndo akawa anabeba baraka zako nawewe unabeba laana zake + mapepo machafu, itategemea na kila mtu jinsi alivyo.
Hebu fikiria mtu kwa siku mpaka akuletee wewe unakuta keshapitiwa na wanaume/wanawake kama Saba (na hao walompitia kila mmoja ana yakwake), ndo anakuletea wewe, unategemea hapo utachukua baraka kweli!!
Ndio maana ya kuambiwa utulie na wako.
Lakini Kupanga ni kuchagua, hiyari ni yako