Kwa hiyo unamshauri aandike kabisa wosia kwa watoto wake?...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mazungumzo yatachukua si chini ya miaka mitano
Chungulia pm[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku makinikia yanakwenda bila shida. Kuna mahala mshana tulikwenda malori ya kichina yamejaza hayo ambayo yana rubi na vitu vingine.
Duuh! Hizi makinikia ruksa kweli kuzijadali? Unashanga wavimba mashavu!!
Nimependa hiyo kofia
[emoji87] [emoji87][emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo dada nimekuham VP huko?