Makinia ndio haya hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,782
699,225
IMG-20170616-WA0003.jpg
 
ni fedhehea kwa kijana kama wewe kung'ang'ania kufikiria habari za kishirikina muda wote!

wachawi hatupo ivyo kijana, nimekuona kwa muda sasa unajinadi hapa

badilika, wachawi hatuko ivyo
15057292_878781798925657_6418571634503843840_n.jpg
asante kwa ushauri
 
Mkuu nitaiandikia kabisa serikali barua ya Mirathi..ikitokea Mungu amenihitaji, kabla ya mgao, Noah yangu apewe Magidalena....

Ndugu zangu wanamjua..
haki ya Mungu umenichekesha ! Ni Magidalena yule wa mabanda ya Papa Tanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom