Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

Yaani limedharauliwa, watu wanapiga makelele ile mbaya.
Sababu ni nini, je ni jinsia ya kiongozi ndio chanzo au kuongoza bunge kumemshinda?
 
Babu weeeeeeeeee! kachoka nafsi yake hao waheshimiwa wanatakiwa wajiheshimu wenyewe kwani mpaka wambiwe nyamazeni na haielekei kumwamwambia mtuu mzima na shughuli yake anyamaze,atawashushua watakapo uliza maswali mwisho wa mwezi pesa yake inaingia safii,wapige kelele kama wako school watajiju.
 
Watu wanatafuta umaarufu kwa nguvu,

Wabunge wetu wanaitwa waheshimiwa ikibeba dhana ya kwamba ni mtu anayeheshimiwa na jamii,mtu anayejiheshimu mwenyewe na mtu anayeheshimu wengine..asa inapokuwa kinyume chake labda tutafute title nyingine na sio Mheshimiwa...
 
Yaani limedharauliwa, watu wanapiga makelele ile mbaya.
Sababu ni nini, je ni jinsia ya kiongozi ndio chanzo au kuongoza bunge kumemshinda?
Amedharauliwa kwa upendeleo wa wazi kwa magamba.
 
The cost of ignorance! Bunge sio la mama makinda! Bunge ni la wabunge wote! Linaharibiwa na wabunge wahuni na wavuta bangi!
 
sI ALICHAGULIWA KWA JINSIA KWA HIYO ANAFANYA KAZI KIJINSIA PIA!
 
The cost of ignorance! Bunge sio la mama makinda! Bunge ni la wabunge wote! Linaharibiwa na wabunge wahuni na wavuta bangi!
mZEE WA POSHO UMEINGIA BUNGENI KWA BAHATI MBAYA EEETI!!! HUJUI YEYE NDO KIONGOZI WA BUNGE??
NDO NINYI MNASEMA SI KIKWETE NI WASAIDIZI WAKE WANAMDONDOSHA ACHA UNAFIKI WEWE!
 
Hii ni hali ya kawaida tu hasa kwenye bunge linalozingatia demokrasia na uhuru wa maoni. Mbona bunge la Kenya wabunge wanazichapa kavukavu na kazi inaendelea. Hakuna dharau yoyote hapa bali ishara ya kukua na kukomaa kwa demokrasia.
 
Yaani limedharauliwa, watu wanapiga makelele ile mbaya.
Sababu ni nini, je ni jinsia ya kiongozi ndio chanzo au kuongoza bunge kumemshinda?

bujibuji unanifurahishaga sana! We ni CCM nini?
 
hata mwalimu darasani usipokuwa huheshimiki kwa wanafunzi mara nyingi darasa linaloose control na kuwepo na minong'ono ya hapa na pale huku wengine wakifinyana na kukuigiliza mwalimu anavyoongea.
 
Watu wanatafuta umaarufu kwa nguvu,

Wabunge wetu wanaitwa waheshimiwa ikibeba dhana ya kwamba ni mtu anayeheshimiwa na jamii,mtu anayejiheshimu mwenyewe na mtu anayeheshimu wengine..asa inapokuwa kinyume chake labda tutafute title nyingine na sio Mheshimiwa...
Sipendi neno mheshimiwa..yaani sisi ndiyo tumiwaajiri harafu tuna waita waheshimiwa...Kwenye blue tuko pamoja
 
Uyo Bibi kiukweli Bunge limemshinda huwaga nasikia raha sana akiwepo Job Ndugai to some extent amejitahid sana kubalance na kulihandle bunge kwa vitu visivyo vya msingi anajibia mwenyee pasipo kuprolong mambo yasiyo na mantiki
 
The cost of ignorance! Bunge sio la mama makinda! Bunge ni la wabunge wote! Linaharibiwa na wabunge wahuni na wavuta bangi!

Kwa maana ya wabunge walioshindwa uchaguzi wakabebwa na Chama Magamba kupitia NEC, na wale waliolewa bange la madaraka kwa kuona bila CCM hakuna Tanzania!

Nimekuelewa mkuu, safi sana!
 
Makinda;ni watoto wa ndege eg njiwa!
Kinda...singular form of Makinda!
 
Back
Top Bottom