Makinda kama kawaida yake kuiokoa CCM

Makinda kama kawaida yake kuiokoa CCM

mmmmmmmmmh! Nimejaribu kusoma huu uzi mara kadhaa niwe mmoja wa wachache kumuelewa huyu ndugu, nimetoka kapa! Nicholas, ebu njoo raundi nyingine tena ya kutuelewesha ni nini umekusidia kutuambia!
sidhani km nina haja ya kukuelewesha vitu ambavyo ulishasoma miaka shule na hukuwahi elewa.Hapa nimetuma kitu kwa wenye uelewa wa level fulani.
 
Last edited by a moderator:
Uzi unazidi kuchanganya,uko page ya pili sasa huku wachangiaji wote wakilalamika kilichopostiwa.Mods mko wapi?.Ila kama lengo la mleta uzi lilikuwa "If you cant convience,confuse them" basi amefanikiwa mara dufu.
duh .mkuua umeongea vitu vtatu kwa haraka vinavyopishana...wachangiaji wanalalamika, sasa mods afanye nini?Awasaidie kuelewa au kuondoa uzi ii wasipate kadhia ya kuface ukweli? sasa km thread unaona imefanikiwa kwa fikra na akili na hisia zako nini shida tena kwako?Mama anaboa anajaribu edit mawazo ya watu wengine badala angeshirikia ku edit mambo ya ccm ktk vikao vya ccm
 
Ha ha ha ha huyu mtu anaongelea sakata la TTCL ambalo jana bungeni mnyaa aliliibua na kina makamba wakawa wanajiuma uma tu . Kuna hela ndefu imepigwa. Sasa kama hujaangalia bunge ni ngumu kumuelewa huyu mtu kwa jinsi alivyoandika. Jipange uelezee upya ili watu wote wakuelewe
mkuu hao wanaosema hawajaelewa au ni upuuzi mtupu au sijui nini si kwamba wanamaanisha anachomaaisha mama makinda,yaani kujifanya hajaelewa wee ili baadae ktk marekebisho maana yake ipotee.Au wengine waibuke na kupotosha.Hivi ni tabia za jadi ktk makabila mengine km jambao linakwenda waumiza wao au mtu wao basi huwa wanajitahidi sana wakati wa maamuzi kurudisha jambo ktk suire zero.Muda hupotea na wanaobana huchoka na kuwa rahisi kuwapotosha.HAwa jamaa wote wanaelewa ila wanahisi kwamba likipata attention itakuwa mbaya sana kwao dkk hizi za lala salama.
 
mmmh wewe bwana Nicholus hebu husisha japo mtu aliye karibu mjenge hoja upya Labda tutaelewa.
Mbona mpo wa hovyo hivyo?Sasa mna faida gani ,si bora muuzwe tuu watu wanunue hata kuku wakachinje.
 
Nicholas mpuu..zi,Hajui kusoma wa kuandika, ueleweki, Afu unakosolewa utaki,kubwa....inga
 
Nicholas mpuu..zi,Hajui kusoma wa kuandika, ueleweki, Afu unakosolewa utaki,kubwa....inga
unayo homa.Nyie ndio huwa mnaakili..km baba zenu walivyokuwa ktk njia za wabongo waliokuwa akipambana na maisha ..na nyie ndio akili zenu kupinga kila kitu hata msivyovijua wala kuwa na mawzo mbadala.Mna akili za kimasikini na duni sana..akili za laana..akili za uzao wa wachawi na watumwa wa shetani.Ndio maana hamuachi logana ktk vijiji vyenu hadi leo..wengi mmeamia mjini hamtaki kurudi halfu mnalia kwamba mlibaguliwa.
 
mmmmmmmmmh!Nimejaribu kusoma huu uzi mara kadhaa niwe mmoja wa wachache kumuelewa huyu ndugu, nimetoka kapa! Nicholas, ebu njoo raundi nyingine tena ya kutuelewesha ni nini umekusidia kutuambia!
haikukusudiwa kwako.
 
Last edited by a moderator:
Leo mama kapiga tena chenga pale Mdee alipotaka muongozo aliposimama mbunge wa CCM kutaka muongozo wa anachokiita uongo halafu akaongea uongo..Muda si mrefu Wenje akata mama amwambie waziri aende nja akarekebishe alichoandika ili aje na fact ili watu wajadili ukweli na si kupoteza muda kujadili uongo.Mama km hakuona ni kitu chenye maana.Akapotezea.Ndio utawala bora wa ccm huo.
 
mama makinda ktk uhasilia wake tena km ilivyokuwa kwa escrow..mama alikuwa akitafuta phrase nzuri hadi akaikuta kwa chenge na kuzilibwa na ayatoullha.mamam akaelewa ghafla na kutaka watu wabaki hapo hapo.

Leo mh.mnyaa akijaribu uliza kwaninsrikali imlipe aliyeshindwa na kuuvunja mkataba,mama alikomaa kwamba na tarehe za hayo mambo zisemwe,thena mama akawapa wenzie nafasi ya kujenga hisia kwamba mnyaa mnyaa anachanganya mambo.

Baadae wakaanza jenga hisia kwamba kuwapa chao ni dili sana ili ibaki yetu kwa 100% ni kitu kizuri sana kuliko kuzuia hii dili ya wizi tena.

Najiuliza whata if tukisikia wahindi wamepewa hela ambayo itaishia kwa mafisadi na kubebwa kwa magunia km ya escrow, halafu baadae tusikie tena kampuni yetu ikidaiwa na wazabuni wa aina ya a wahindi wazawa kwa kiasi cha kufilisika.?

Tayari nimeona harufu ya dili mbaya kupitia huyu mama,kwa jinsi anavyojifanya haelewei hadi jibu walilopangwa toka kwa mtu aliyepangwa ,na wnezie kumsupport kwa stai li ya kuwafanya wengine wafuate mkumbo au kutoleta mashaka.yetu macho na masikio.

Ila ni vyema km kuna upenyo ,kuuzima ni nafasi ya ushindi kwa watz ktk mapinduzi haya.

?????????????.??????????????????View attachment 257398page nzima uko mwenyewe unaanzisha uzi na kujijibu mwenyewe teh teh mizigo hii sijui itaisha lini ndani ya taifa.mchango wangu huu unakutosha, kwaheri.
 
hahahahahaha,,wakuu kumsoma Nicholas inahitajika utulivu wa hali ya juu na uwe mfuatiliaji mzuri wa watu anaowaongelea.


Sasa kama ni hivyo hafai kuhabarisha watu, kama watu wa kumuelewa ni wale waliofuatilia jambo fulani ambalo yeye ndo analitolea habari, ina maana mtu ambaye anatakiwa kuipata habari hiyo kwa mara ya kwanza hawezi kumuelewa na ushahidi ndo huu watu tumeshindwa kumuelewa.
 
Mama Makinda ktk uhasilia wake tena km ilivyokuwa kwa Escrow..mama alikuwa akitafuta phrase nzuri hadi akaikuta kwa Chenge na kuzilibwa na Ayatoullha.Mamam akaelewa ghafla na kutaka watu wabaki hapo hapo.

Leo Mh.Mnyaa akijaribu uliza kwaninSrikali imlipe aliyeshindwa na kuuvunja mkataba,Mama alikomaa kwamba na tarehe za hayo mambo zisemwe,thena mama akawapa wenzie nafasi ya kujenga hisia kwamba Mnyaa Mnyaa anachanganya mambo.

Baadae wakaanza jenga hisia kwamba kuwapa chao ni dili sana ili ibaki yetu kwa 100% ni kitu kizuri sana kuliko kuzuia hii dili ya wizi tena.

Najiuliza whata if tukisikia wahindi wamepewa hela ambayo itaishia kwa mafisadi na kubebwa kwa magunia km ya escrow, halafu baadae tusikie tena kampuni yetu ikidaiwa na wazabuni wa aina ya a wahindi wazawa kwa kiasi cha kufilisika.?

Tayari nimeona harufu ya dili mbaya kupitia huyu mama,kwa jinsi anavyojifanya haelewei hadi jibu walilopangwa toka kwa mtu aliyepangwa ,na wnezie kumsupport kwa stai li ya kuwafanya wengine wafuate mkumbo au kutoleta mashaka.Yetu Macho na masikio.

ILa ni vyema km kuna upenyo ,kuuzima ni nafasi ya ushindi kwa watz ktk mapinduzi haya.
nico ndugu yangu, watu wengi wamekushauri kuhusu mada unazotoa lakini hutaki kusikia, mi ushauri wangu kwa leo, nenda shule elimu haina mwisho dada
 
umeandika kama tupo wote kuangalia kipindi cha bunge
 
nico ndugu yangu, watu wengi wamekushauri kuhusu mada unazotoa lakini hutaki kusikia, mi ushauri wangu kwa leo, nenda shule elimu haina mwisho dada
haijakusudiwa kwa kila mtu.Hat amovie kuna umri...sasa km wewe ulizoea kulazisha na kuangalia siwezi kusaidia.
 
nico ndugu yangu, watu wengi wamekushauri kuhusu mada unazotoa lakini hutaki kusikia, mi ushauri wangu kwa leo, nenda shule elimu haina mwisho dada
wanishauri kutoa mawazo yangu?Mtakuwa vichaa nyie..nyie ndio mnasaidiwa kufikiri.Ndio maan hamuwezi reason chochote.Mtaendeshwa sana na misemo ya kanga ktk propaganda za ccm?
 
Back
Top Bottom