MIMI NIMEMUELEWA BWANA NICHOLAS, KAONA IF HE CANT CONVINCE THEN KAAMUA KUTUCONFUSE, VERY GOOD Nicholas
Hahahaaa!!!! ina maana wewe umeanza tu kusoma comments hata uzi wenyewe hujausoma!!.Jf raha sana.Naona wote mnamshambulia kwani ka Andika nini?
Wee jamaa mbona kama umeandikiwa na Mhongo hii kitu?
kwani umeacha lini kujiuliza vitu visivyo manana.Kwa akili yako ya kusema kila kitu umesikia utaweza vipi jieleza hapa?Hapana hivi najiuliza kwa mtu aliehitimu elimu ya juu anaweza kuandika kitu namna hii hebu njoo usahihishe ulichoandika hapa@Nic
haha.jamaa wapo ktk kipinindi ch ampito kujitambua..ndio maana wana mashaka na fikra zao km lweli walichokisoma ndicho walichoikielewa.NI km mfungwa alieyetoka gerezani baada ya mika 40 na kukuta dunia imebadilika na inakimbia kuliko waoNaona wote mnamshambulia kwani ka Andika nini?