Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Sephora,Mac na Shoppers Drugmart sisi hapa hakuna Ulta.
I missed you bro ulikua wapi?
I love that foundation,natumia shade maple
Primer sikuipenda ilikua ina make my under eye concealer creasing.
Hapo Ulta au ?
Yup!
Nilimpeleka Kisura kwenda kununua lip gloss
Kuongeza uremboNaomba kufaham faida za kupaka make-up
Hongereni kwa kweli warembo..muda kupaka vitu vingi kila siku asbh naona kashersheeeeKwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.
Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer View attachment 1141333View attachment 1141334.
Hongereni kwa kweli warembo..muda kupaka vitu vingi kila siku asbh naona kashersheeee
Daily I am very basic with js wanja,mascara na lipstick/gloss
Full make up mnapata wapi mda warembo?.labda siku za sherehe ndo i take time ama naenda saluni for a quick do
Natumia Sleek
Powder na foundation
Mascara:3d fantastic lash
Na lipstick flormar ama sleek pia
Napenda powder,wanja,lipstick na mascara the most
Hapo sawaa..very niceMe sipaki makeup kila asubuhi labda niwe na safari asubuhi.
Sana napaka makeup weekend na full face natumia 30 minutes tu simple look ila sipaki eyeshadow hadi niende kwenye sherehe
Hapo sawaa..very nice
Eye shadow for me bado mtihanii kbs
Eyeshadow upate brush nzuri Za ku blend na eyeshadow palette Nzuri that’s it.
Ila eyemakeup ndio inachukua muda mrefu
Ukitaka kuonekana kituko vuruga kwenye eyemakeup
Haya mambo me sina kabisa dada manengelo emu nifundishe jamani
Emu nikuone PM😂😂😂😂😂😂..mie sijapaka makeup kwa miez km 8 hv...jana ndo nimepaka..hahaha ..ninachokaga na mm ..nikaamua kupumzika...ila ni art nzur sana jifunze u tube!