Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

Unaongea ujinga unajua eeh..
Tulia leo nina ahadi naaaaaa hivyo nina furaha
1780230170874.jpg
 
Kuna members humu wamesema wamekuta huo msemo unatumika mpaka mtandao wa "X"

Msemo wa makebo unaVibe yake hata Mimi nimejikuta naacha kutumia Maghayo sasa natumia makebo automatically nikizungumzia anayomaanisha mleta mada.

Cc : loose Nut de Nyangwisi
SAYNGAY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom