Make it make sense, please!

Make it make sense, please!

Hii mijadala ya ushoga hua nakutana nayo mitandaoni tu huku street mambo ni tofauti kabisa sasa sijui ni mitaa nilipo mimi tu ama ni nchi nzima ipo hvyo

Nadhani tukiacha kuanzisha mijadala hii basi hiyo agenda itajifia yenyewe
 
Ukisema hupendi wizi au mwizi haina maana ukiibiwa milioni 60 ususe kupokea hela zilizo okolewa kwa mwizi eti kwasababu alizishika na wewe hupatani na mwizi

Mfano unaelewa kuwa kiongozi wako ni fisadi na wewe hupendi ufisadi kwakua ni kitu kibaya kwako, so ina maana miundombinu ya barabara ambazo amejenga huyo kiongozi hutazitumia kwasababu kufanya hivyo itakuwa ni unafiki?

Una mtoto wako utakubali akae nyumbani asiende shule kisa hiyo shule imejengwa na fisadi lenye uloho wa madaraka?
Mada yake haina mashiko kabisa ,labda ingekuwa hivyo vitu vinapromoti ushoga .
 
Nimefungua uzi asubuhi asubuhi nikidhani una hoja ya maana kumbe unatetea wafyilanaji? Disgusting 😏
 
TANZANIA itajengwa na Mungu mwenyewe,

Nchi itaongozwa kama ilivyoongozwa ktk Bustani ya EDEN,

Adam atarudi kuvitawala na kuvitiisha vyote duniani shetani akiwemo,Nyoka na Ibilisi atarudi chini na kukubali yaishe.

Mungu ataabudiwa na mataifa Kutokea Tanzania,

Ni sasa, Wala Si mbali, Tawala za Dunia zitakuwa chini ya Mwanakondoo na MASIHI wake.

Shetani Yuko behind Kila kitu kilicho against na AMRI na maelekezo ya Mungu, USHOGA ni satanic.

Ufalme unatekwa na wenye nguvu,
Tunisheni misuli enyi mashetani bt MWANAKONDOO ndiye ashindaye na zaidi ya kushinda.

Amen, Amen Amen.
Mkuu umenikumbusha huu mwimbo

Ukiona watu wanatoka mashimoni
Ukiona kuzimu yatikiswa kama maji
Ukiwaona wafalme wanapiga magoti kwa Mungu
Ujue saa imeshatimia

Acha kuzubaa rudisha ndugu zako
Ufalme wa Mungu umetekwa na wenye nguvu
Unapoyaona haya utambue jambo moja
Ufufuo umekaribia
 
Mipunga inatumia kila njia kuhalalisha kupumuliwa kisogoni.
 
Kwanza mimi ningefurahi kuona APPLE wanabandika LOGO YA UPINDE kwenye iPhone ili wawakomeshe vizuri hawa wanafiki.

Na pia ukiwasha simu ukutane na midume inakulana denda kama ile mikono ya kwenye NOKIA za zamani.

Ili watapike vizuri zaidii.
 
Unaweza kuupinga ukahaba wa dada yako halafu papo hapo ukazipokea hela zake zitikanazo na hiyo shughuli yake kwa bashasha na furaha?

Unaweza kuupinga ujambazi wa kaka yako halafu papo hapo ukayapokea matunda ya ujambazi wake kwa bashasha na furaha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii mijadala ya ushoga hua nakutana nayo mitandaoni tu huku street mambo ni tofauti kabisa sasa sijui ni mitaa nilipo mimi tu ama ni nchi nzima ipo hvyo

Nadhani tukiacha kuanzisha mijadala hii basi hiyo agenda itajifia yenyewe
Ndo ujue wengi wa wanaoyaleta mtandaoni ni washiriki wa ushoga!

Kwa sababu mtaani pametulia ila wao ndo wanawashwa washwa kuyasambaza mtandaoni!!

Hawa ni mashoga tu, wakishafirana kwenye mageto yao wanakuja kutusumbua mitandaoni wakati sisi hatuna habareee!
 
Duh!

You have a very weird moral compass.
Waislamu hawali nguruwe na kwao nguruwe ni najis kwa imani yao, hawatakiwi kuwa hata karibu yake.

Wakristo walio wengi wanakula, wale wasio wakristo wapo wanaokula. So tukitumia mfumo wako ina maana waislamu wajitenge na hao watu wanaokula nguruwe kwasababu kuwa karibu na hao watu ni kuendelea kusapoti ulaji wa nguruwe?
 
Mkuu umenikumbusha huu mwimbo

Ukiona watu wanatoka mashimoni
Ukiona kuzimu yatikiswa kama maji
Ukiwaona wafalme wanapiga magoti kwa Mungu
Ujue saa imeshatimia

Acha kuzubaa rudisha ndugu zako
Ufalme wa Mungu umetekwa na wenye nguvu
Unapoyaona haya utambue jambo moja
Ufufuo umekaribia
Be blessed in Jesus name. Amen
 
Waislamu hawali nguruwe na kwao nguruwe ni najis kwa imani yao, hawatakiwi kuwa hata karibu yake.

Wakristo walio wengi wanakula, wale wasio wakristo wapo wanaokula. So tukitumia mfumo wako ina maana waislamu wajitenge na hao watu wanaokula nguruwe kwasababu kuwa karibu na hao watu ni kuendelea kusapoti ulaji wa nguruwe?
Nimesema ktk Tanzania hii, mashetani yatarudishwa gizani, chini chini sana ktk vifungo vya milele.

Tusubiri.
 
Disclaimer:

I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.

Now that we got that out of the way, please make it make sense!

LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].

Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.

Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.

Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.

Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?

Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?

Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.

Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?

Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.

Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.

Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?

Please make it make sense….

😀😀
Unahoja lakini hoja yako inaweza ikaweweseka ikikutana na hoja hii;

Wazungu walivyokuja Afrika walizipinga Mila na desturi zetu lakini hakuwaacha kuchukua Mali na Rasilimali zetu.

Wanapinga ukeketaji lakini hawakuacha kuchukua madini yetu.

Hivyo hoja yako haina Nguvu.
 
Mchezaji mmoja akigomea wakati msimamo wa Timu na FA ni kusapoti pamoja na kuweka matangazo kabisa na wachezaji kuvaa gay boots wewe kwako unaona huo mpira hausapoti au kupromoti ushoga?!
Ni kweli msimamo wa FIFA unasapoti lakini haina maana yeyote anayeangalia mpira anasapoti
 
Back
Top Bottom