Make it make sense, please!

Make it make sense, please!

Disclaimer:

I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.

Now that we got that out of the way, please make it make sense!

LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].

Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.

Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.

Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.

Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?

Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?

Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.

Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?

Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.

Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.

Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?

Please make it make sense….
TANZANIA itajengwa na Mungu mwenyewe,

Nchi itaongozwa kama ilivyoongozwa ktk Bustani ya EDEN,

Adam atarudi kuvitawala na kuvitiisha vyote duniani shetani akiwemo,Nyoka na Ibilisi atarudi chini na kukubali yaishe.

Mungu ataabudiwa na mataifa Kutokea Tanzania,

Ni sasa, Wala Si mbali, Tawala za Dunia zitakuwa chini ya Mwanakondoo na MASIHI wake.

Shetani Yuko behind Kila kitu kilicho against na AMRI na maelekezo ya Mungu, USHOGA ni satanic.

Ufalme unatekwa na wenye nguvu,
Tunisheni misuli enyi mashetani bt MWANAKONDOO ndiye ashindaye na zaidi ya kushinda.

Amen, Amen Amen.
 
Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.

Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
Hivi shoga ni yupi hasa? Anayemkula mwenzake au anayeliwa?

Maana wahusika wote wanashiriki kwenye tendo moja la kishoga.

Lakini kibongobongo inaonekana kama vile anayemkula mwenzkake yeye siyo shoga.

Washiriki wa tendo wote ni mashoga kwa sababu wote wanakuwa wametamaniana.

Mwanamme asiye shoga hawezi kumtamani mwanamme mwenzake, iwe kwenye kumuingilia au kuingiliwa.
 
Mm iPhone ganvu nimeitupa baada ya kusoma andiko lako hili
 
Hivi shoga ni yupi hasa? Anayemkula mwenzake au anayeliwa?

Maana wahusika wote wanashiriki kwenye tendo moja la kishoga.

Lakini kibongobongo inaonekana kama vile anayemkula mwenzkake yeye siyo shoga.

Washiriki wa tendo wote ni mashoga kwa sababu wote wanakuwa wametamaniana.

Mwanamme asiye shoga hawezi kumtamani mwanamme mwenzake, iwe kwenye kumuingilia au kuingiliwa.
Wote hao ni mashoga, ndiyo maana wengine huwa tunamuuliza mwanaume kama ni straght 😄😄😄
Bado wanaowaingilia mashoga ni wanaume. Bado lawama kwa wanaume, yeye ndiyo gay, yeye ndiyo anamwingilia. Bila uhusika wao, haya yasingekuwepo.
 
Observation inaonyesha kwamba waukataao ushoga kwa sauti kubwa ndiyo huwa mashoga haswa!

Wanachofanya ni ku project walivyo….
Hilo nakukubalia kabisa. Yuko mtu mmoja Dar alijisifia hataki kabisa kusikia habari za mashoga na watu wakamwamini kuwa anapinga kwa nguvu zote ushoga kumbe ni UONGO! Watu wanasukuma ye mwenyewe!
Hovyo kabisa.
 
Disclaimer:

I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead.

Now that we got that out of the way, please make it make sense!

LGBTQ rights are now the sociopolitical hot potato in these neck of the woods [ East Africa].

Raia wanatoa povu balaa. Kila mwenye kujiona ana umuhimu na kila mwenye kudhani akifungua mdomo wake na kutoa kauli, basi watu watamsikiliza, naye anatoa kauli yake ya msimamo wake kuhusu ushoga.

Maoni ya watu ni mengi na ni anuai. Kutoa maoni ni jambo jema kabisa.

Nilichokiona ni kwamba, kauli na sauti za kupinga mapenzi ya jinsia moja, ni nyingi na kubwa.

Ambacho sikielewi, hususan kwa wale wanaopinga hayo mapenzi, upingaji huo unaishia wapi?

Upingaji huo unaanzia na kuishia humu humu ndani ya mipaka ya nchi, au?

Kuna dhana inayoaminika kwamba mataifa ya nchi za magharibi ndiyo yanayo promoti hayo mambo ya ushoga huku kwetu.

Sasa katika kuukataa huo ushoga, inakuwaje kwa mfano, watu waendelee kutumia bidhaa za makampuni ya hizo nchi za magharibi ambayo yanajulikana kupromoti hayo mapenzi?

Mfano, iPhone zinapendwa sana Tanzania. Kampuni inayotengeza hizo bidhaa inajulikana wazi kabisa kuwa ina promoti hayo mambo.

Kampuni ya Apple ina mashoga wengi sana. Kuanzia juu kabisa [CEO] mpaka ngazi za chini, mashoga wapo.

Mtu hapa Tanzania unawezaje kuupinga ushoga kwa nguvu zako zote halafu kwa wakati huo huo utumie bidhaa za kampuni ijulikanayo kuongozwa na shoga bila ya kuwa mnafiki?

Please make it make sense….
Ningeshangaa sana kama ungerudi salama
 
Hilo nakukubalia kabisa. Yuko mtu mmoja Dar alijisifia hataki kabisa kusikia habari za mashoga na watu wakamwamini kuwa anapinga kwa nguvu zote ushoga kumbe ni UONGO! Watu wanasukuma ye mwenyewe!
Hovyo kabisa.
Hahahaaa!

Mara nyingi ndivyo huwa hivyo.

Wanajifanya wako triggered sana na mambo ya kishoga ilhali kumbe wao wenyewe ndiyo mashoga haswa.

Angalia tu hata kashfa za kanisa Katoliki! Hao mapadri na maaskofu si ajabu walikuwa wako mstari wa mbele kuupinga ushoga kwenye mahubiri yao lakini nyuma ya pazia wanashiriki kwenye matendo ya kishoga.

Mtafute Bishop Eddie Long kwenye Google uone. Huyu alikuwa mpinga ushoga maarufu sana. Lakini nyuma ya pazia kumbe alikuwa anashiriki ushoga na wavulana wa kanisa lake!
 
Ushoga unapingwa kwenye mitandao na mikutano ya hadhara, yaani kwa midomo, Ila kwa matendo ni tofauti, mashoga wengi hadharani wanapinga ushoga, mfano mdogo hapa kwenye mitandao, ukimuudhi mtu utasikia " nitakuf.. r Mimi, lakini anapinga ushoga!!, au utasikia " we shoga Nini ebu njoo Niku penetrate", lakini huyo mtu anadai anachukia ushoga

Kwa watanzania yule anayeinama ndio shoga, yule anaeingiza ni shujaa!!
 
Mission hizi za Shetani zilianzia mbaali sana, mpaka zinafika hapa leo, mwokozi ni yeye tena aliyezichoma moto Sodoma na Gomola,

Sina hakika iwapo jambo hili litathibitiwa na mwanadamu tena!

Takwimu za uwongo na kweli zinaonyesha, 80%ya wanaume na wanandoa waishio Dar! Wamegonoka na wapenzi wao kinyume na maumbile!
Kwa hali jins ilivyo SOON tutapigwa reset ya sodoma na gomorah.
 
F3B84D68-FCC9-4898-A004-A4EDA91F2321.jpeg
 
Ushoga unapingwa kwenye mitandao na mikutano ya hadhara, yaani kwa midomo, Ila kwa matendo ni tofauti, mashoga wengi hadharani wanapinga ushoga, mfano mdogo hapa kwenye mitandao, ukimuudhi mtu utasikia " nitakuf.. r Mimi, lakini anapinga ushoga!!, au utasikia " we shoga Nini ebu njoo Niku penetrate", lakini huyo mtu anadai anachukia ushoga

Kwa watanzania yule anayeinama ndio shoga, yule anaeingiza ni shujaa!!
Kuna idadi kubwa sana ya Watanzania walio wajinga [ignorant].

Wanaona kumuingilia mwanamme mwenzake ni tendo la kujivunia na wanashindwa kutambua kuwa unapomtamani mwanamme mwenzako kimopenzi, ndo ushoga wenyewe huo.
 
Ushoga unapingwa kwenye mitandao na mikutano ya hadhara, yaani kwa midomo, Ila kwa matendo ni tofauti, mashoga wengi hadharani wanapinga ushoga, mfano mdogo hapa kwenye mitandao, ukimuudhi mtu utasikia " nitakuf.. r Mimi, lakini anapinga ushoga!!, au utasikia " we shoga Nini ebu njoo Niku penetrate", lakini huyo mtu anadai anachukia ushoga

Kwa watanzania yule anayeinama ndio shoga, yule anaeingiza ni shujaa!!
Hata mtu akiiba au mkamfumania na kumlawili au kumuingizia chupa nyie wote mna dalili ya ushoga. A straight person hawezi kuwaza adhabu ya aina hiyo.
 
Watu wanapinga ushoga, sio kampuni wala bidhaa.

Ukisema bidhaa zina promote ushoga naweza kukuelewa kuacha matumizi yake.

Napinha ushoga kwa nguvu zote, mbona k zetu tamu mnataka nini huko mafirauni?
Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.

Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
Hivi kupinga style ya kufanya mapenzi ya mtu mzima alieamua kwa hiari yake kufanya na mtu mzima mwenzie ina make sense?

Englishlady , wanaofanya Oral sex wanatafuta nini mdomoni wakati k zenu ni tamu, hili la kufanya ngono kwa kutumia mdomo mbona halipingwi?
 
Walawi 20:13
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo sana. Lazima wauawe; nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.

Shida waafrika wako sensitive na kuingiliwa sio kuingilia, hawajui hao wote wamelaaniwa
 
Kwamba tukipinga tususe kutumia na bidhaa zao? hilo sidhani kama linawezekana

Muhimu ni kupinga vile vitu ambavyo vinahamasisha (campaign agenda) kama product ina icon yenye kuwakilisha mach*"*"k then hiyo itapigwa vita

Ila sijaona tatizo kwenye devices kama simu labda watoe yenye rainbow flag ndio nitaona ina make sense
 
Hapo ndo ujue you are fighting a losing battle!
 
Back
Top Bottom