Make it make sense, please!

Make it make sense, please!

Wanaume mkiacha kutifua tope, ushoga utapungua kama si kuisha.
Wanaume wakiendeleza na ushoga unaendelea.

Ushoga na biashara ya ukahaba, zinaendana bila wanaume kuacha hakuna kitu. Tutapiga kelele, tutaacha tumia hizo bidhaa ila hakuna kitu kitabadilika.
Umenena vema. WANAUME ndio wanaochochea ushoga. Wakiacha kupenda mlango wa uani ushoga utaisha lkn ukiwakuta kwenye hadhara wanavyolaani. Wakitoka hapo wanaenda kwa wake na wapenzi wao wanawageuza.
Walianza kuwala WANAWAKE wamezoea Sasa wanakulana wao kwa wao
 
Walawi 20:13
“ ‘Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo sana. Lazima wauawe; nayo damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.

Shida waafrika wako sensitive na kuingiliwa sio kuingilia, hawajui hao wote wamelaaniwa
Kwenye walawi pia imeandikwa hata mwanamke mchawi auawe!

Hiyo Walawi sijui Wamalawi ni mojawapo ya maandiko ya kikatili kabisa kwenye Bibilia, kuamrisha mtenda dhati auawe ni kwenda kinyume na maagizo mengi ya biblia hiyo hiyo!
 
Hapana

Bidhaa kama simu kuihusisha na agenda za kich**k kwenye influence ya kuharibu maadili au kusapoti swala hilo naona haliko poa
Hypocrisy is not a virtue.

Liking things that gays make and then turn around and moralize about how bad and how much you hate gays, ain’t it.

Shows to me [1] you’re not principled at all and [2] you don’t know what you want.

You’re just running your mouth and you’re in no position to lecture anyone on morality.
 
I don't think it is hypocrisy as you say

Uchafu ukiingia kwenye kapu toa, usitupe kapu
 
Hata kama dunia inadidimia na hili janga, bado watu watapinga. Hata kama ni starehe ya mtu mwingine.

Kwanini tunafanya kampeni za kuzuia maambukizi ya VVU? Wakati ni starehe ya mtu na akipata niyeye, sawa na u gay. Hatutaacha kukemea hili, na mnaoshadadia kuwa haituhusu, aibu zenu.
Aisifiaye mvua...
 
It is 💯 % hypocrisy.
Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabaya

Watu watachukia bidhaa pamoja na kuisusia iwapo itakuwa ina alama ya kuhamasisha hizo agenda zenye maadili mabaya.

Mfano ukisoma historia ya ugunduzi wa computer na mambo ya software utaona yupo Alan Turing ambaye alikuwa ch**k, so ulisema tuishi katika mfumo wako unao suggest tutatakiwa tuache kutumia PC, kitu ambacho ukianza kukifikiria influence yake kwenye kuharibu maadili hukioni
 
Wapinga ushoga kwa sauti kubwa ni wanafiki tu.

Hivi kwa mfano Tim Cook au Pete Buttigieg wakija Tanzania watagomewa au kufukuzwa warudi kwao?
Portia de Rossi and Ellen DeGeneres
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    43.2 KB · Views: 11
  • images.jpeg
    images.jpeg
    32.4 KB · Views: 12
Watu wanachukia maadili mabaya, hawachukii vitu vilivyotengenezwa na watu wenye maadili mabaya

Watu watachukia bidhaa pamoja na kuisusia iwapo itakuwa ina alama ya kuhamasisha hizo agenda zenye maadili mabaya.

Mfano ukisoma historia ya ugunduzi wa computer na mambo ya software utaona yupo Alan Turing ambaye alikuwa ch**k, so ulisema tuishi katika mfumo wako unao suggest tutatakiwa tuache kutumia PC, kitu ambacho ukianza kukifikiria influence yake kwenye kuharibu maadili hukioni
Unaweza kuupinga ukahaba wa dada yako halafu papo hapo ukazipokea hela zake zitikanazo na hiyo shughuli yake kwa bashasha na furaha?

Unaweza kuupinga ujambazi wa kaka yako halafu papo hapo ukayapokea matunda ya ujambazi wake kwa bashasha na furaha?
 
Bidhaa hatupewi tunanunua kwa pesa yetu
 
Mbona mpira wa Ulaya hamuachi kuangalia??
Kwamba tukipinga tususe kutumia na bidhaa zao? hilo sidhani kama linawezekana

Muhimu ni kupinga vile vitu ambavyo vinahamasisha (campaign agenda) kama product ina icon yenye kuwakilisha mach*"*"k then hiyo itapigwa vita

Ila sijaona tatizo kwenye devices kama simu labda watoe yenye rainbow flag ndio nitaona ina make sense
 
Vipi kuhusu football ya Ulaya?

Back
Top Bottom