e2themiza
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 974
- 564
Habari zenu wakuu kuna app nimetengeneza via facebook.. ambayo itakuwezesha kupost on your wall sayin via Jamiiforums kama kwa mfano ukipost kupiia simu yako inasema via mobiel, or via blackberry e.t.c so i thought it was cul also making one saying via Jamiiforums na icon yake pia If you want to try it out au kushangaza watu open this link.. Inatakiwa uwe tayari logged in nda ufungue iyo link useje sema nataka kuhack account yako bure :lol: apo utaweka your status then click share na itapost on your wall via Jamiiforums:
Log In | Facebook
Here is a snap of the above link:
And pia if you want isema maneno mengine i can also make kama tyari nimetegeneza another inayosema:
Via nokia ya tochi dont ask why it nanya biz 😛
Na nimeipost leo morniing hehe here is the snap:
OK HAVE A NICE SUNDAY!!!