Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums

FB.JPG

attachment.php

Msidanganyike kuingiza informations zenu huyu jamaa anatufanya watu ni mandondocha ana-hack account yako then anapost kila kitu,kama unataka kujaribu fungua fb account nyingine na sio yako uliyozoea kufanya test,kueni makini na watu kama hawa ni hatari sana
 
hahaha acha kukimbia kivuli chako mwenyewe Mwali,ukiweka hapa your real ID.....unakuwa more cautious,huandiki upupu wala kumtukana member mwingine lol,kila mtu angefanya hivi huoni JF ingekuwa raha???lol,halafu umejuaje hii ndio ID nayotumia facebook?lol umenitafuta eeeh?anyways watu wananijua unayemuona JF ndie mtu halisi..lol

hii ni forums bibie kwa hyo sasa nicks ndio mahala pake..
 
View attachment 43715

attachment.php

Msidanganyike kuingiza informations zenu huyu jamaa anatufanya watu ni mandondocha ana-hack account yako then anapost kila kitu,kama unataka kujaribu fungua fb account nyingine na sio yako uliyozoea kufanya test,kueni makini na watu kama hawa ni hatari sana
Hivi mkuu unauhakika unachokisema kwl? Hivi mimi nihack account za wote na nipost kwenye wall yenu ili ni faidike nini.. Kwani haujaona apo juu nimesema lazima uwe logged in tayari ndo ufungue iyo link?? Mbona una anza kuleta visa vya ajabu? Mbona wangapi wametumia hyo link na hamna aliyelalamika wewe haujajaribu na hata hajasoma maelezo apo juu una anza kulalamika.
 
Ni hatari kufanya kama huyu e2themiza anavyotaka. Hatari kubwa ni kujikuta information zako zote anazo. Inaitwa hacking. USIJARIBU
Mkuu kama unahisi hvo dont try it. Lakini usiseme kitu ambacho hauna uhakika nacho. Ivi niku uliza swali katika step gani ya hapo juu mimi ntaweza hack account yako kama unavyosema?
 
mkubwa me nimeitumia ni nzuri,na vp khs kuandika maneno yangu mwenyewe?
ok mkuu nilitengeneza thread ya tutorial ya jnc ya kuweka maneno yako lakini mods wameitrash apparantely zle detail hairusiwi iwe public. Kama unataka maneno yako nipm na nikipata mda ntakutengenezea.
 
Vp na ile ya tutorial y kuhack mbona kimya.
 
thanx mkuu ipo poa sana nimezipenda zote,ukiweza nitengeneze yenye maneno,via iPad,via lucas shada inc,na via iphone 4s
 
Hii kitu ipo powa sana tena sana maana watu naona watashangaa unaingia kwa kutumia simu ya tochi haha
 
Mazee niko bize na pepa week hii na ijayo nikiua ntawasaidia walioniomba niwatengenezee
 
Back
Top Bottom