Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

BWANA WANGU

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
362
Reaction score
848
Habari wakuu,

Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe"

Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli.

Hivi ulishawai jiuliza kwenye Kila Bank ya mtu wakichukua ( wakiiba) sh 500 . Watakuwa wameiba sh ngapi. Watu wanajenga majumba huko mbeni unauliza wanapata wapi ela kumbe ndio dili zenyewe hizo.

Ombi langu kwa CRDB na Bank zote mnapokata makato kwenye account ya mtu msikate kimya kimya tumeni ujumbe ..Mfano Ndugu mteja BWANA WANGU, umekata sh 2000 kwenye Kodi ya XYZ ya Kila mwezi kwa sasa umebakiwa na sh 13,000.

Pia na Kodi zote zitambulike.

Ashante sanaaaa.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    23.7 KB · Views: 23
Mabenki yote ni mapango ya wezi. Hakuna unafuu kwenye benki yoyote ile nchini. Ni wizi tu halafu mwishoni mwa mwaka wanajisifia kuvuna faida ya mabilioni ya shilingi kutoka kwa wananchi masikini na wale wenye kipato kidogo.
 
Watakuja hapa kutangaza utendaji wa yule mama ,ni hovyo kabisa ameruhusu wizi ..Mimi naweza kuhamisha 2K ila baadaye kunakuta 1k haipo.
Adolf Hitler aliwachukia wayahudi kwa kuanzisha huu mfumo wa banking na pesa ,unaleta umaskini na mfumuko wa bei.
 
Anzisha mfumo wako ulio bora tuufuate.
 
Mabenki yote ni mapango ya wezi. Hakuna unafuu kwenye benki yoyote ile nchini. Ni wizi tu halafu mwishoni mwa mwaka wanajisifia kuvuna faida ya mabilioni ya shilingi kutoka kwa wananchi masikini na wale wenye kipato kidogo.
Halafu mwisho wa mwaka wanavyojitapa kutengeneza faida kubwa kwenye ma-balance sheets yao sasa. Wizi mtupu!
 
Bank nyingi sasa hivi wanajisifia kuzidi malengo yao kila mwaka kwa kuongeza makato kuwa makubwa sana aisee bank wanapata faida kubwa sana aisee kwanza hela zenyewe wanazizungusha kwa kukopesha watu baadae wanakukata hela nyingi tu kwa kila transaction utakayofanya kazi ipo..
 
Ndomaana wanapata faida sana
 
Mabenki yote ni mapango ya wezi. Hakuna unafuu kwenye benki yoyote ile nchini. Ni wizi tu halafu mwishoni mwa mwaka wanajisifia kuvuna faida ya mabilioni ya shilingi kutoka kwa wananchi masikini na wale wenye kipato kidogo.
wewe nae una matatizo ya afya ya akili sema inawezekana hujajijua tu.
 
Mimi mwezi huu 29500 ila nafatilia wanirudishie
 
Back
Top Bottom