Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

Makato ya Bank ya CRDB yanakatisha tamaa

Habari wakuu,

Wahenga walisema " Masikini atabaki kuwa Masikini, tajiri ataendelea kuwa tajiri zaidi na zaidi" na Mimi nasema " Tumbo lililo zoea rushwa halishibi kamwe"

Wakuu hii tabia ya CRDB, kukata makato ambayo wateja wake hawaelewi jinsi yanavyo enda. Ni kuwakosea wateja kwa kweli.

Hivi ulishawai jiuliza kwenye Kila Bank ya mtu wakichukua ( wakiiba) sh 500 . Watakuwa wameiba sh ngapi. Watu wanajenga majumba huko mbeni unauliza wanapata wapi ela kumbe ndio dili zenyewe hizo.

Ombi langu kwa CRDB na Bank zote mnapokata makato kwenye account ya mtu msikate kimya kimya tumeni ujumbe ..Mfano Ndugu mteja BWANA WANGU, umekata sh 2000 kwenye Kodi ya XYZ ya Kila mwezi kwa sasa umebakiwa na sh 13,000.

Pia na Kodi zote zitambulike.

Ashante sanaaaa.
😆😆 Neno la kwanza apo nimelisoma na wenge duh
 
Mkuu HIZO faida zinazo tangazwa kwa mashindano huwa NAJIULIZA maswali yasiyo na majibu any way alutacontinua



Kwishaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom