blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 85
- 128
Habari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant bila makato yoyote.
Yaani ilikuwa hiyo 500k hadi mwezi December. Nilikuwa situmii bank, na hawakunipa mkataba wowote. Wala mwongozo wowote wa makato. Nimeendelea hivo hadi mwaka jana mwezi wa 12. Sasa kutokana na usumbufu wa yule accountant kunizungusha kwenye kutoa hela kwa wakati, nikaona nitumie bank account kupokea hela, na alisema nitaanza kuwekewa hela kwenye account kuanzia January hii..
Mshahara ulivoingia, nimekuta wamekata takribani 85,400, bila maelezo yoyote, hamna deni lolote ninalodaiwa na kampuni. Na hamna mkataba wowote niliopewa unaoonesha makato. Hii imekaaje wakuu.
Kwa sasa nimesafiri sijarudi ofisini na wala sijapiga simu kuulizia.
Sasa. Naombeni ufafanuzi kwa wanaojua nisipanik bure