...salama anko, naona mambo yanazidi kuwa mambo, sasa umekubali hali. Nakusalimia tu mjomba wanguKwa niaba ya eksiiii babe asantee
....mtaasisi naona umeniamulia kabisa, japokuwa matendo ni yangu lakini umri wa kwenye picha ni tofauti kabisa. Ndugu yako bado nna kadi ya umoja wa vijana wenye mambo ya kizee. ha hahahahaha, liked.... a bounced check.Vile Obe alimaliza weekend yakeView attachment 2712867
Asante auntie yangu kwa kushukuru tubarikiwe sote
HahahhahaKwa niaba ya eksiiii babe asantee
Nimecheka sana binamu...salama anko, naona mambo yanazidi kuwa mambo, sasa umekubali hali. Nakusalimia tu mjomba wangu
Kwaio hio 5B hapo chini mkeka upo wa uhakika nichukue
Anko binamu salamu zako huwa nazipata ,changamoto kubwa ni aisha wako msumbufu...salama anko, naona mambo yanazidi kuwa mambo, sasa umekubali hali. Nakusalimia tu mjomba wangu
...lazima awe msumbufu anko, kipindi kile umempa 50,000 ya Burundi halafu ukapotea mazima yeye akajua akichenji atapata milioni za wabunge 😂😂😂😂😂😂😂Anko binamu salamu zako huwa nazipata ,changamoto kubwa ni aisha wako msumbufu