Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
nasubiria fursana mmMama JJ, nawaona na humu wewe ndo ndugu yangu ninayekuamini.
Mambo yangu yakikaa sawa, basi zawadi nitakununulia bonge la zawadi. Utakunywa fursana hadi washangae sana
nasubiria fursana mmMama JJ, nawaona na humu wewe ndo ndugu yangu ninayekuamini.
Mambo yangu yakikaa sawa, basi zawadi nitakununulia bonge la zawadi. Utakunywa fursana hadi washangae sana
.....kadri unavyonikatisha tamaa ndo hela za korosho utazisikia tu nikilipwa.
Halafu zile za Mo bado sijalipwa ujue (Mimi nilikuwa mlinzi pale gymkhana wakati nafuatilia ishu ya korosho)
Shikamoo binamu...nawasalimia wadau wote mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. sichoki kusema hili na nachangia burdani kuiendea furahiday.
Kama msipotaka kujua hali yangu basi mimi sijambo, nawaambia tu na ninauliza kama Kuna Jipya!
nasubiria fursana mm
Shikamoo binamu
...kuwa mtulivu, utakunywa sana hadi bundi wa nbungeni aje kukushangaa, fursana ni moja ya vitu vya anasa, ni aghali na nikumbushe tena msimu wa sikukuu ya mwaka mpya nione kama ninaweza kukununulia japo moja mgawane na kina anko. Wewe ni ndugu yangu
Nko vzr mno...marhaba mama JJ, uko vizruri usiku huu kuitafuta furahiday?
hi binamuKichaa nipo ndani ya nyumba,jifanye kama unajikuna hivi uone kitakachotokea!
hi Binamu,i love you so much!hi binamu
I missed u so much
hi Binamu,i love you so much!
[/QUOTE
Mambo dear
mambo ya shangaz hayoHasira zimejikusanya
Jinga sana binamu, umeifanya siku iwe nzuri kwangu
Fursana ndio bonge la zawadi
mambo ya shangaz hayo
Hahahah sana binamu,,siku akianza zile woiii na emoj za fire kaa tayal binamu,,huwa anaweka picha....kwamba shangazi kajibeba basi ndo maana mimi shida yangu Wema tu
Na kwako pia binamuHappy Furahiday wadau