Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,911
- 150,238
🤣🤣🤣🤣🤣Uzeeke mara ngapi we Mzee?
🤣🤣🤣🤣🤣Uzeeke mara ngapi we Mzee?
Pole sana,Swahiba🤣🤣🤣🤣🤣
Simu yangu imefanya Update nimeletewa Version ya JF APP kilazima Auntie....
Nachoka...Yale mambo ya page no.kama kwenye Browser😒😒
Pole sana sipendi kuona unateseka ujueNa hata siku update.. nashangaa tu naingia nakutana na mambo kama ya kwenye Browser...Nikajiambia imekuwaje tena😅
Niambie tu hicho Kitu Auntie wangu...
Maana nateseka ajabu....
Abeeeee Swahiba..