Makapuku Forum

Muziki: Misimu Sio Wingi wa Simu

......yalikuwa maongezi tu na tukajikuta hakuna muafaka tunaofikia na kama waungwana walivyo, tukakubaliana kutokubaliana na kisha tukasema kwa kuwa mazungumzo yetu yalikuwa ni kama kamati ya kujadili makinikia basi usitegemee kupata 'mrejesho' yaani mshindonyuma (feedback). Ninakusalimia Kapuku mheshimika na sitochoka kukwambia, KF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe uko hapa. Asante sana maana uwepo wako, wewe, mimi yaani sisi ndo tunalifanya jukwaa hili kukamilika kila idara.

Utataka nini ukose hapa, kuanzia teknolojia ya kisasa hadi ile ya kwa kina shedede Sumba-wanga. Utakutana na sports kwa kuwa member wa hapa si wa mchezo mchezo, they mean business bila kukwepesha. utapenda kupata fiction na non-fiction bila fiks basi usiondoke Jukwaani hapa. unaruhusiwa kutoka kwa muda lakini sio kuondoka mazima. Asanteni wadau wote kwa kulipendezesha Jukwaa hili.

Muziki sasa, nimkuwa nikifuatilia huu msemo maarufu kwa sasa 'woyooooooo' nikajiuliza unamaanisha nini? Nikaona isiwe tabu maana kama haikuui inakufanya uwe na nguvu na kunatofauti ya wholesaler na whoresaler, haya yote ni maneno tu ambayo huja na kutokomea kutokana na muda na mazingira. utasikia mengi, enzi za JKN, AHM, BWM, JMK na sasa JPM misimu ilikuwepo, ikaondoka na itaendelea kuwepo.
Burudika na moja ya misimu hata kama hujasika simu


Asante mpendwa
 
Woyooooooooooo
Suck+it_31efe2_5118267.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom