Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Au makondakta au mzee wa hapa kazi tu ujue nawaza mengi mieSema hebu na mie nichekemo
Au makondakta au mzee wa hapa kazi tu ujue nawaza mengi mieSema hebu na mie nichekemo
Akuonee huruma basi jaman mtu mpaka umependa kivuli tuuu bado hakufikiliiUjue nampenda ndo maana mdogo wangu....
Na wewe dada hongera jaman kwa kupenda kivuli woiiiiiAaah
Watu wengine tunajua kuvumilia jamanii... Ila nampenda sababu ana roho ya Sakayo tuu
Utapewa dada jamaanNipewe tuzo tuu mieee
Sio rahisi... Kivuli kinaonyesha mtu mrefu ka Hashimu ThabitAu makondakta au mzee wa hapa kazi tu ujue nawaza mengi mie
Mimi pia, kesho mapumziko tutakuwa wote kutwa nzimaNmekumic kweli
Yaani nimecheka kwa sauti ujueAkuonee huruma basi jaman mtu mpaka umependa kivuli tuuu bado hakufikilii
Mkuu Mzima wewe?Aisee
Woyooooooooooo
Kwakweli ngashtuka ujue dadaHizo hongera we umezielewa mdogo wangu????
SawaaaaUtapewa dada jamaan
Ko ndio unanihukumu?Mungu anakuona ujue
Sio rahisi... Kivuli kinaonyesha mtu mrefu ka Hashimu Thabit







Mara paaaap sura kama wassira simooooooNjoooo huku hebu?
Hizo hongera we umezielewa mdogo wangu????
Yaani nimecheka kwa sauti ujue




kweli Dada mbona ana roho ngumu hivyo jamanHebu Sema ukweliKwakweli ngashtuka ujue dada
Shunie...nalijua hilo dyadya ujue una changamoto si za nchi hii Mara paaap kivuliii woiiii ujue nataka kukupa tuzo ya uvumilivu