Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Sema hebu na mie nichekemo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadya ujue nakumbuka vingi sana
Sema hebu na mie nichekemo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadya ujue nakumbuka vingi sana
Nimetoa siri ujue TV8?
Meli kabisaa [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama sio yeyeMungu anakuona ujue
V8?
Meli kabisaa [emoji3][emoji3]
Hivi babu na ye hana bibi eenhUnataka vita na babu eeh?
Ujue nampenda ndo maana mdogo wangu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me ningeandama aiseee mpaka kisafishwe sitakagi ujinga mie dada
T Mungu hapendi ujue usitufanyie hivyo ebu kakisafishe jamanHahahaa....
Mambo ya Negative...
Hivi unajua zile mambo za kuosha negative zamani
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama sio yeye
Kwakweli me nisingeweza mnuno wake ungekuwa sio wa nchi hiii woiiiiYaaani inabidi nipewe tuzo kwa kweeeli.... Huu uvumilivu sio wa nchi hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvumilivu kwenye ubora wakoMpaka saivi ipooo ujue
Nikuletee kinywaji gani dyadya jamanKho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho
Ungetualika tu jaman tungekula kilichopoHali mbayaaa
AaahKwakweli me nisingeweza mnuno wake ungekuwa sio wa nchi hiii woiiii
Binamu santeeeeMuziki: Misimu Sio Wingi wa Simu
......yalikuwa maongezi tu na tukajikuta hakuna muafaka tunaofikia na kama waungwana walivyo, tukakubaliana kutokubaliana na kisha tukasema kwa kuwa mazungumzo yetu yalikuwa ni kama kamati ya kujadili makinikia basi usitegemee kupata 'mrejesho' yaani mshindonyuma (feedback). Ninakusalimia Kapuku mheshimika na sitochoka kukwambia, KF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe uko hapa. Asante sana maana uwepo wako, wewe, mimi yaani sisi ndo tunalifanya jukwaa hili kukamilika kila idara.
Utataka nini ukose hapa, kuanzia teknolojia ya kisasa hadi ile ya kwa kina shedede Sumba-wanga. Utakutana na sports kwa kuwa member wa hapa si wa mchezo mchezo, they mean business bila kukwepesha. utapenda kupata fiction na non-fiction bila fiks basi usiondoke Jukwaani hapa. unaruhusiwa kutoka kwa muda lakini sio kuondoka mazima. Asanteni wadau wote kwa kulipendezesha Jukwaa hili.
Muziki sasa, nimkuwa nikifuatilia huu msemo maarufu kwa sasa 'woyooooooo' nikajiuliza unamaanisha nini? Nikaona isiwe tabu maana kama haikuui inakufanya uwe na nguvu na kunatofauti ya wholesaler na whoresaler, haya yote ni maneno tu ambayo huja na kutokomea kutokana na muda na mazingira. utasikia mengi, enzi za JKN, AHM, BWM, JMK na sasa JPM misimu ilikuwepo, ikaondoka na itaendelea kuwepo.
Burudika na moja ya misimu hata kama hujasika simu
TogetherAsante kwa kumbukumbu
Nipewe tuzo tuu mieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvumilivu kwenye ubora wako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] my love
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nina roho ya baba, ujue utaanza wewe kukimbia mdogo wangu..... Umesahau we ndo utaanza kuona kivuli
Hizo hongera we umezielewa mdogo wangu????Nikuletee kinywaji gani dyadya jaman
Kweli kabisa T wa sakayoShululu..
Kwema