Aisee4/Barbara & Adam Stratznann
Ni wanandoa wa Kijerumani wa karne ya 15
Walijaaliwa watoto 53
Wakiume 38 na wakike 11(sijakosea kujumlisha)
Walipata mapacha Wa kawaida mara 4
Walipata mapacha watatu(triples) mara 5
Watoto wao wanne walikuwa na jinsia mbili
.......
Ww si uvungeTranscend mambo ya group sex si katika utamaduni wa kiafrika ha ha ha ha ha ha ha ha
Hawezi swiitiiHuu uchochezi kutaka kumtia pressure Shululu wngu
Nipo hamna anaweza kututenganisha aiseeShululu kuja hapa haraka..... Unataka kutiwa changa la macho.
Ahahaha tigo wehuuu kweli bhinamu sijui walikosa neno la kutumiaa ??Hii si program ya tigo, au kujazwa ni tatizo. Wajaze Ujazwe mimi nitawajazilishia
Saw kaka..Hi ni segment poa sana , na uliitendea vema. Anyway atakuja mdau Kapuku kuanzia pale ulipoishia
Una akili sana weweIbaki vile vile tu
Niambie shululu imeshakuwa usiku. Mambo mengi u busy mwinginsekwa za mchana
Kujazwa umejazwa na waliioko nyumbani wamejazwa, tigo wajinga sanaMbona unacheka mkuu au na wewe full kujazwa mkuu na tigo ??
Mic hnyHawezi swiitii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mjomba kwani wewe ulijazwa kwa kuwa unapenda!?
Asante bitoz kwa top ten1/Mr & Mrs VassilyevNi wabandoa wengine wa Kirusi wa miaka ya 1700
Walijaaliwa watoto 69
Mapacha wa kawaida X 16
Mapacha watatu X 7
Mapacha wanne X 4
.
.
.
.
.
Ahsantenteni kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Nawe pia TWakuu.
Muwe na usiku mwema
Mic you moreMic hny
Poleni sana Mungu amponyeMadam hayuko pouwa sana! Ana hali ya homa kidogo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mic you more