Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nipo hapa mimiBosi naomba unitafutie kijana wa kazi yule wa kolomije anataka kurudi kwao
Nipo hapa mimiBosi naomba unitafutie kijana wa kazi yule wa kolomije anataka kurudi kwao
Jana wameomba picha za nywele ili wachague ukawa umekimbiaSijatuma mbona hukuniambia
Nani huyo alikuwa anatakaJana wameomba picha za nywele ili wachague ukawa umekimbia
Dada zangu wote walioko humu kwa makapukuNani huyo alikuwa anataka
Nitajie majina yao ni wafuateDada zangu wote walioko humu kwa makapuku
ebu watag niwajue.Wapo kibaooo
Mwite shunie atakutajia woteNitajie majina yao ni wafuate
MkuuHabari yako aganza
Umewatumia picha za nywele dadazangu
Una utani na boss wakoNdio ,nilikuwa namtania bosi wangu
Naam mkuu habari ya uzimaMkuu
Nzuri shemeji za Sugu cityHabari zenu humu ndani
Kidogo sio sanaUna utani na boss wako
Njema za hapo kibahaNzuri shemeji za Sugu city
Nzuri kabisaNjema za hapo kibaha
Nawe pia shemejiUsiku mwema makapuku wenzangu
Hajambo kabisa,Poa, shemeji Hajambo lakini