Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
yanahusiana nini mapenzi yake na ninayomwambiaHawez kuona wanasema mapenzi upofu mwachee
yanahusiana nini mapenzi yake na ninayomwambiaHawez kuona wanasema mapenzi upofu mwachee
Fungua nikwambie kitu ameeeeeijiiing
Itabidi tu atusaidie fundi wa camera![]()
hapo mtaani kwenu kuna fundi camera aje atutengenezee
kwa kweli
Nilipo hapa nimeshika simu alfu pembeni kuna mjinga mmoja anapenda kula kila kitu kinachopitishwa kwenye dirisha mara andaz ..juis ...mayai yaani kanikela ntaomba konda nishukehivi una nini lakini
Kumbe tutaleta tukipata nafasikama huleti we basi au mje wote mkipata nafasi
Sijashangaaa![]()
![]()
mbona unashangaa hny
Husinambie na yeye ana kishitobeeeyanahusiana nini mapenzi yake na ninayomwambia
Polenibasi kimvua flani hivi
Ufunguo anao shululu ukimwona mwambie akufungulieFungua nikwambie kitu ameeeeeijiiing
Sasa mama shunie kipenzi usiponitafutie baby nan sasa anitafutie au unatka nichepuke nilete baby kutoka nje...nikuulizee utamlea ???me ujue sitaki kama unahitaji tafuta mwenyewe
Unakosa fursaaUfunguo anao shululu ukimwona mwambie akufungulie
Kweli kabisaItabidi tu atusaidie fundi wa camerakwa kweli
SawaUnakosa fursaa
ahahhahha na yy kafunga pm shemelaAki ya nani natuma zinagomaa
Pm ya mke wa mtu inakuhusu niniiiiiFungua nikwambie kitu ameeeeeijiiing
sawa mje wote niwapeleke au aje mkeoItabidi tu atusaidie fundi wa camerakwa kweli
unajua mke mwee anapenda sana kunivuruga sijui anajua moyo wangu ni chuma![]()
![]()
itakuwa account ya shemu imehakiwa
usishuke kaa nae mpaka mwisho mshuke woteNilipo hapa nimeshika simu alfu pembeni kuna mjinga mmoja anapenda kula kila kitu kinachopitishwa kwenye dirisha mara andaz ..juis ...mayai yaani kanikela ntaomba konda nishuke