watu wamejaaliwa ndevu5/Michael LeggeHuyu ni Mwingereza ambaye alitumia miaka minne tu kufuga ndevu urefu wa futi 2
Enzi za utotoni/ujanani jamaa alikuwa staa baada ya kushiriki mashindano kibao na kuwagaragaza vibaya sana wapinzani wake waliokuwa na vindevu kiduchu kama vya Sizonje anavyotambia Bongo
Ndiyo bwana madevu mkuu huko kwa Malkia Elizabeth
........
Umejazwaniliweka voucher nikajazwa yaan nilivyoona text ya jazwa ujazwe nilicheka sana nilikukumbuka
Yelewiiiiiiimh baby
ila kama uliclear chat za mwanzo unataka kuanza upya hazitafika
Shunie za uzimawatu wamejaaliwa ndevu
Frsh man za uzima??Iko poa sana Braza, nambie!
Lee wangu fuga basi na ww kidogo niwe nazichezea chezea4/Paul Wright
Hii pia ni njemba ya huko Uingereza ambayo ilitumia miaka mitano tu kufikisha ndevu zenye urefu wa futi 2 na inch 2
Kawahi kukwama huko nyumbani kwao
Huyu jamaa ndiye amampa ushindani bwana madevu hapo # 5
.......
Umejazwa
Wewe kibokooo tigo wamebugiiiii etii mm nijazwee
Habar yako mkuuAfandee msitaafu
kuwa siliasi basi usiniambie ulifuta chatYelewiiiiiii
Shwar za kushindaPoa za hapo ulipo
salama kaka za wewe mbeya mnaendeleajeShunie za uzima
Salama za kupoteanaHabar yako mkuu
cc.mondray na nyagei ndio wanapenda mambo ya group na shedede wasubili wanakujaFollow this link to join my WhatsApp group: Jumbo Forum
Group ni La kuchart na kubadilishana mawazo tu.
Njema mkuuShwar za kushinda
Mi siko poa sana dadangu ila mbeya kwemasalama kaka za wewe mbeya mnaendeleaje
Habar yako mkuuInspector general
Shimba ya buyense ndo ailete nimemtumia pm ai-editSalama hadithi bado kwani