Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimerudiiii
Si mmeshindwa kumtunza shunie
Vizur gharama naona ushakuwa kaka kwa husna ..kweli mapenzi kizungumkutiiii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimerudiiii
Si mmeshindwa kumtunza shunie
Vizur gharama naona ushakuwa kaka kwa husna ..kweli mapenzi kizungumkutiiii
Usichekeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nilijua unaangalia tenahahhhaa umekumbuka recorded ya real madrid ya siku ile shemela unakumbu kumbu
hivi naachikaje lakiniAtaachikaaa
Ila wewe humpatiii
Wewe iyo kazi si ulipewa weweAfadhali apate kazi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]basi baba me chelsea
Akuuu me nna Shululu wangu ananitosha[emoji108] [emoji108]Daaah shedede kanipiga bao now sina mtu labda shunie or Tumosa wakinikubali..
UshindweeeeeDaaah shedede kanipiga bao now sina mtu labda shunie or Tumosa wakinikubali..
Yaa mkuu hayotoka lin hao wakawa wadogo zako
ya tigo yapojeOoooooooh vizuriii yasijekuwa ya tigo
Umejua sasa, uzuri hazijibiwiPm tena
Naomba utambulishoooMke anae kwani haujamuona
[emoji1] [emoji1]Pm tena
Mkuu vipWw kasa/Mamba hahaaa
Mkuu za masiku naona umerudi
Anajua sanaMke anae kwani haujamuona
hongera baby kwa kuwa mabingwa wa epl [emoji122] shemela shululu kama nakuona unavyochekaPongezaa kwanza kwa ushindii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hanimuni imeisha kwani[emoji15]
Kukabidhi Rungu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmh kunanini boss[emoji20]
Uko wapii kwanza ..unazidiwajee na shedede wakat last seen kwa husna ilikuwa kwakooHahaaaaa
Nilimiss hizi Battle aisee
Aaah ila ndio uzima kwetu huku wanasema..
MujalabuSiwezi kukosa ninaye Tumosa wangu kipenzi changu chanda changu