Binafsi siingii kwenye thread nyingine yeyote zaidi ya hii. Huku nina uhakika wa likes. Kule nabahatisha, sasa kwanini nisije huku. Mie nataka hao wakongwe wajifunze roho ya kutoa kama sie. Mtu likes hununui, hufungiwi account kwa kutoa likes, kwanini usitoe?