Hakika mkuu, nachukua coin yangu na nipo bar ila nachagua nyimbo ya SDA ambassadorKuishi ndani ya muziki ni raha sana, ndo maana wengie huwa tunasikiza nyimbo za dini huku tunafanya yasiyowapendeza washika dini
BaelezeNyagei anataka kuposa kwa linamo
Africa ya kaskazini wamejiendeleza vizuri kwenye sokaDuh, haya majina ya hizi tema zinazoshiriki yanaashiria kitu kimoja tu, kusini mwa Afrika tujikite kwenye ufugaji tu
Niaje kaka..Africa ya kaskazini wamejiendeleza vizuri kwenye soka
Hakika mkuu, nachukua coin yangu na nipo bar ila nachagua nyimbo ya SDA ambassador
Nipo kamanda za toka jana broDingi mbona kimya..
Safi kaka..Nipo kamanda za toka jana bro
Amen Blessed!ZABURI 122
1.Nalifurahi sana waliponiambia na twende nyumbani kwa BWANA.
2.Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako,Ee Yerusalemu.
3.Ee Yerusalemu,uliyejengwa kama mji ulioshikamana.
4.Huko ndiko walikopanda kabila za BWANA.Ushuhuda kwa Israel.Walishukuru jina la BWANA.
5.Maana huko viliwekwa viti vya hukumu.Viti vya enzi vya mbari ya Daud.
6.Utakieni Yerusalemu amani, Na wafanikiwe wakupendao.
7.Amani na ikae ndani ya kuta zako Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
8.Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu,Niseme sasa,Amani ikae nawe.
9.Kwa ajili ya nyumba ya BWANA,Mungu wetu nikutafitie mema
Hulali wewe..ZABURI 122

Hulali wewe..
BTW Shukrani mayo wane..
kajikoroga kweriKawa km mjusiiii
AmenZABURI 122
1.Nalifurahi sana waliponiambia na twende nyumbani kwa BWANA.
2.Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako,Ee Yerusalemu.
3.Ee Yerusalemu,uliyejengwa kama mji ulioshikamana.
4.Huko ndiko walikopanda kabila za BWANA.Ushuhuda kwa Israel.Walishukuru jina la BWANA.
5.Maana huko viliwekwa viti vya hukumu.Viti vya enzi vya mbari ya Daud.
6.Utakieni Yerusalemu amani, Na wafanikiwe wakupendao.
7.Amani na ikae ndani ya kuta zako Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
8.Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu,Niseme sasa,Amani ikae nawe.
9.Kwa ajili ya nyumba ya BWANA,Mungu wetu nikutafitie mema
MATHAYO 26
41.Kesheni mwombe,msije mkaingia majaribuni :roho i radhi ,lakini mwili ni dhaifu.
Tunapaswa kukesha tukiomba,lakini katika ubinadamu wetu tunazidiwa na machovu ya mapito ya humu duniani,tukipata muda kidogo basi tumshukuru Mu gu kwa pumzi anayotupa na mema yote anatotutendea.
Mbarikiwe
Milele aminaaaBwana Yesu asisifie family