Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
kwahiyo we unahisi naumwa nini kwani TSio kali wala...kawaida
kwahiyo we unahisi naumwa nini kwani TSio kali wala...kawaida
Jina langu la ukweli ni shunie halaf unapenda kutisha watuEeeeh! Arrrrgh
Kaah ! Karibia nikuite jina lako la ukweli ukweli .![]()
![]()
![]()
unaonekana kama yange yangeYaani hii rangi mbaya...
Kama huamini vaa suruali ya njano uone..
Nani sasa anamtisha kwa mfanoJina langu la ukweli ni shunie halaf unapenda kutisha watu
kwa kujilazimisha shemelaNdio uamini sasa
Woyoooooooo binamu kapata bae mama mchuchu baki na mukongo wako kila mtu na wakeSasa kuanzia leo, usiku huu amini kuwa nami nimemdondokea Sweetiepie
unaonekana kama yange yange
Mtasubiri sana anguko letuIle kesi ya fifa bado lakin
mimi kuwa anitajie jina langu halisiNani sasa anamtisha kwa mfano
Weka ya kijani insteadSiipendi hiyo rangi
mimi kuwa anitajie jina langu halisi
Kwa ninikwa kujilazimisha shemela
Hiyo ndio habari ya makapukuWoyoooooooo binamu kapata bae mama mchuchu baki na mukongo wako kila mtu na wake
Ndege mzuri rangiiiii mbayaaa
Kapendeza
Sizipendi zote napenda nyekundu tuWeka ya kijani instead