Makapuku Forum

1996 - Meli ya Mv Bukoba yazama katika Ziwa Viktoria na kuua watu zaidi ya 700.

Ilikuwa ikitoka Bukoba kwenda Mwanza, ilizama karibu na pwani ya Bwiru.

Rais wa kipindi hiko, Benjamin Mkapa alitangaza siku tatu za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti.

Makaburi ya wahanga wa tukio hilo yapo Igoma, Mwanza ambapo walioshindwa kutambuliwa na ndugu zao walizikwa hapo.
 
Mimi niliambiwa nitumie Chibuku muulize Bibi Vipi Ataiweza????
 
Hii ajali ilikuwa kubwa sana, pia mamlaka zetu hazijui kuzuia abiria kujazana kwenye vyombo vya usafiri

Ile meli ilijaza watu wengi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…