Hapana mi sioHivi weww baby wa nani?
Huyu ni bby wangu mkuuHivi weww baby wa nani?
Nzuri tuSafi kabisa... Naona unakesha za weekend... Huko ulipo
Here we go!Naomba tusalimiane dada
Eeeh! Since when ?Huyu ni bby wangu mkuu
Tiririka mkuu..Sema na Aganza basi mbona ananiamkia tena!!!
Eti eeeMh siuongee nae mwenyewe watu hawataki maneno wanataka vitendo kaka ongea nae
Here we go!
Let me see if you can roll your tongue perfectly..
Humu kapuku wewe ni mgeni kwanza!Shemejii yako huyo mkuu tuna muda kidogo
Amen... Ahsante kwa neno ubarikiwe ndugu... Ila kesho usisahau kubeba sadaka utakapoenda ChurchZABURI 3
5.Najilaza nikalala usingizi,nikaamka kwa kuwa BWANA ANANITEGEMEZA
Tukijua MUNGU yu pamoja nasi twaweza pumzika hata wakati wa dhiki
TUOMBE
Asante BABA kwakuwa unaendelea kututetea na kutupa ushindi,tunaomba toba kwa yote tunayokukosea.
Tunajikabidhi Baba usiku waleo utulinde tunafahamu husinzii wala hulali upo macho kutuangalia tusipatwe na mabaya.
Nawakabidhi wagonjwa wafiwa yatima na wenye shida mbalimbali.utulinde malaika walinzi watuzunguke
Asante Baba kwa kuwa utatenda sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Kristo Amen
USIKU MWEMA
Hakika wewe ni zoba kweli
Shikamoo Makapuku
Nategemea hapo ulipo haujambo
Huku nyumbani bibi khajambo lakini aliniambia nikujulishe kuhusu ile kitu yake ya siku zote kama imepanda bei
Zamani aliipate kwa anko deby kwa tsh 100 lakini tokea waseme no viroba imepanda kweli
Nimejitahidi kuzunguka mitaa ya kina shemera nako tabu nimekosa
Nimejaribu kumpigia anty Shinune kasema eti nae kaokoka hakika kama jinsi ujuavyo bila kupatikaña hiyo kitu sidhani kama bibi kesho ataamka
Bibi kasema ni kueleze wewe anko Kapuku kwa kuwa anakuaminia hasa zile styre zako zakuchomekea suruali yenye viraka huku ukitembea kwa madaha mfano wa ile band ya Tarumbeta anaamini kama utakasa hakika huwezi kikosa kabisa....
Basi kama utapata usije kuleta hadharani nakuomba ufunge vilivyo ili watoto wasije kungamua kilicho chonde chonde usiache sory....
Wako Akupendae
Anko Zoba...
Eeeh! Naisikia piaacha nilale na hii mvua ya ghafla
Asante kwa sala mama mchuchuZABURI 3
5.Najilaza nikalala usingizi,nikaamka kwa kuwa BWANA ANANITEGEMEZA
Tukijua MUNGU yu pamoja nasi twaweza pumzika hata wakati wa dhiki
TUOMBE
Asante BABA kwakuwa unaendelea kututetea na kutupa ushindi,tunaomba toba kwa yote tunayokukosea.
Tunajikabidhi Baba usiku waleo utulinde tunafahamu husinzii wala hulali upo macho kutuangalia tusipatwe na mabaya.
Nawakabidhi wagonjwa wafiwa yatima na wenye shida mbalimbali.utulinde malaika walinzi watuzunguke
Asante Baba kwa kuwa utatenda sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Kristo Amen
USIKU MWEMA
Eeeh kumbe hadi huko IPO... Ngoja nizime hili li Ac maana nisilazimishe kupata mafua bureacha nilale na hii mvua ya ghafla
Sakayo yupo mkuu, nipisheHivi weww baby wa nani?
Ndio ila nishaanza kuwa mwenyejii kidogo mkuuHumu kapuku wewe ni mgeni kwanza!