Mimi nimesoma Gamboshi.
Ni kijiji cha kawaida tu na hakuna cha ajabu pale japo kuna vitu ambavyo nadhani vinaweza kuvutia watalii.
Karibu sana kama unataka kutembelea mkuu.
Nitakupeleka mwenyewe....