Makapuku Forum

Hahaha kwa laha zake[emoji12]
 
Pamoja mkuu.

Asante bitoz kwa kumi kubwa

Thanks kwa top ten Bitz

Asante sana,ubarikiwe sana[emoji120]

Miaka nane


Pamoja sana wakuu
Nchi nyingi zilizoendrlea zinajali hali za watoto ndiyo maana wameficha picha na utambulisho wao ila suala la umri wao mdogo ni ukweli mtupu na wengi walibakwa na kumbukeni kufanya mapenzi na watoto ni ubakali
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
................
 
Leo mapemaa, ngoja niupumzishe huu mwili wa bwana.....Nawakabidhi mikononi mwa Bwana wa mabwana Kristo Yesu.....Amen.....goodnight family[emoji42] [emoji99]
Same to you sir have a Blessed night,guardian angels sorround your bed,protect you,watch you...by the blood of Jesus Christ,sleep well Amen[emoji253] [emoji253]
 
Ubakaji umeanza siku nyingi,tena ulifanywa na jamaa wa karibu mno,mara nyingi waliobakwa walionywa wasiseme niliwahi kutana na mama wa miaka 60, alibakwa na mjomba wake akiwa mdogo miaka tisa ,n a akaambiwa ukisema nitakuua,alpata ujauzito,hatimaye akaingia mtaani,yeye na mtoto wake waliishi katika mazingira magumu sana,baadae akapata fursa ya mafunzo mbalimbali na kuelimishw khs haki za binadamu na reproductive right,alikuja kuwa mwalimu mzuri sana sana,na siku hiyo kwa mara ya kwanza alitoa siri hiyo,wakati mjomba wake alimpiga sana familia ilipogundua ni mjamzito.tuziombee sana familia zetu na vizazi vyetu hakuna linalomshinda Mungu.


Ubarikiwe mkuu Bitoz,Ulinzi wa Baba wa mbinguni uwe nawe,uamshwe salama kesho Mungu akipenda kesho[emoji120]
 
Nawe pia
 
[emoji524] ZABURI 46

1.Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso

2.Kwahiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi,Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.

3.Maji yake yajapovuma na kuumuka,ijapopepesuka milima kwa kiburi chake

TUOMBE

Tunakushukuru Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa Wewe ndiye kimbilio na nguvu yetu,msaada wa kila jambo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utukinge na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali,mkono wako ukatukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga,tunakwenda kinyume na nguvu zotevza giza ,tunaomba malaika walinzi wakawe nasi usiku kucha.
tuliza wafiwa,yatima wagonjwa,bariki kila mipango tunayopanga tusipungukiwe.
Mapenzi yako yatimie.
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
asante, nawe pia
 
Same to you sir have a Blessed night,guardian angels sorround your bed,protect you,watch you...by the blood of Jesus Christ,sleep well Amen[emoji253] [emoji253]


Sijiu niandike nini ili nisionekane nina wivu, enewi, yote maisha, wakati unalilia kupendwa, mwingine anapendwa kifurukutwa yaani hadi maua, flowers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…