[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo unaleta utani uliopitiliza
Binafsi sipendi kujibujibu watu hata nitukanwe but leo magumashi ni mengi hivyo nikaamua kumjibu mtu kulingana na post zake
Watu wanazungua
................................
Yote kheri
Maelezo yapo post # 3
I'm not star
I'm Kapukuz
Ukinichukia sipungukiwi kitu chochote
Kunijibu ni uamuzi wako
Napenda kuwa peace na kila mtu
Lakini samtaimu uvumilivu unanishinda
...................
OKMkuu haya ni majukwaa tu, unatakiwa kama ulilalamika juu ya wakongwe kuwamistreat wageni na kuanzisha movement ya aina hii na ikafanikiwa usilewe sifa na kuanza wewe kuwa na zile zile tabia za wale waliosababisha wewe kuanzisha movement hii.
Observe hii kitu, mimi siyo Kapuku wala mkongwe, kote nahusika vizuri tu ndo maana huku utaniona na kule utaniona.
Toka JF ianze sijawahi kumdharau mtu, kumtukana mtu wala kugombana na mtu, na hakuna hata mmoja anayeweza kushuhudia juu ya hili, ni kwa sababu naichukulia JF yote na members kama familia bila kujali wewe ni mgeni wala mwenyeji.
OKBaadhi ni test unafanyiwa, kuna mtu anaweza kukuchokoza makusudi tu ili aone reaction yako, na kama uk-react kwa jazba yeye anascore na kuna watu watakuona aah, kumbe naye ni wale wale.
Baadhi ya confrontation unaziacha kama hazikupunguzii kitu wala kushusha thamani yako.
ya ni jambo jema boss.hahahah...kukumbushana kuhusu ibada sio jambo baya
Nimekupenda bure mkuu, heshima muhimu japo hatuonani wakuu,Mkuu haya ni majukwaa tu, unatakiwa kama ulilalamika juu ya wakongwe kuwamistreat wageni na kuanzisha movement ya aina hii na ikafanikiwa usilewe sifa na kuanza wewe kuwa na zile zile tabia za wale waliosababisha wewe kuanzisha movement hii.
Observe hii kitu, mimi siyo Kapuku wala mkongwe, kote nahusika vizuri tu ndo maana huku utaniona na kule utaniona.
Toka JF ianze sijawahi kumdharau mtu, kumtukana mtu wala kugombana na mtu, na hakuna hata mmoja anayeweza kushuhudia juu ya hili, ni kwa sababu naichukulia JF yote na members kama familia bila kujali wewe ni mgeni wala mwenyeji.
hakika...ya ni jambo jema boss.
utaaribu uzi boss.....kaa kimya 2Yote kheri
Maelezo yapo post # 3
I'm not star
I'm Kapukuz
Ukinichukia sipungukiwi kitu chochote
Kunijibu ni uamuzi wako
Napenda kuwa peace na kila mtu
Lakini samtaimu uvumilivu unanishinda
...................
Nimekupenda bure mkuu, heshima muhimu japo hatuonani wakuu,
Wakuu ninapenda sana amani, shari nimefanya sana cjafaidi zaidi ya ku loose, nimechagua amani na kuheshimiana inalipa.Pamoja mkuu.
well saidBaadhi ni test unafanyiwa, kuna mtu anaweza kukuchokoza makusudi tu ili aone reaction yako, na kama uk-react kwa jazba yeye anascore na kuna watu watakuona aah, kumbe naye ni wale wale.
Baadhi ya confrontation unaziacha kama hazikupunguzii kitu wala kushusha thamani yako.
Pamoja mkuu.Wakuu ninapenda sana amani, shari nimefanya sana cjafaidi zaidi ya ku loose, nimechagua amani na kuheshimiana inalipa.
Kiufupi kila mtu ni raisi katika serikali ya maisha yake, tuna muono tofauti, mawazo tofauti, uwezo wa kufikiri na kutenda tofauti na tunavutiwa kusikia au kusema tofauti tofauti hivyo naomba tuchukuliane hivyo hivyo na tujadiliane na kukosoana kwa STAHA WAKUU
Mkuu sijakupata vizuri!mie naomba kutumia jukwaa hili kufikisha kilio changu kwa mods
nashindwa ku anzisha uzi mpya wowote isipokuwa kuanzia kwenye Jukwaa la siasa kuelekea juu nimelalamika sehemu nyingi mno labda kupitia jukwaa hili nitasikilizwa kilio changu
Tatizo lako mbona geni....ukienda jukwaa husika si kitatokea kitufe cha blue ? Km hapa chinimie naomba kutumia jukwaa hili kufikisha kilio changu kwa mods
nashindwa ku anzisha uzi mpya wowote isipokuwa kuanzia kwenye Jukwaa la siasa kuelekea juu nimelalamika sehemu nyingi mno labda kupitia jukwaa hili nitasikilizwa kilio changu
Mara nyingine kichaa huwa timamu... Acha kukariri mkuu... KaribuMtachanganya mambo, hapa ni ujinga ujinga tu!
Kwani majukwaa ya seriuos si yapo?
Mkuu sijakupata vizuri!
Unamaanisha huwezi kufungua uzi wowote nje ya jukwaa la siasa ama vipi?
Sasa una tatizo na nani... Maana ukimgusa mmoja humu wote wanaumia.... Haya semaMkuu we sina tatizo na wewe, najua ni inferiority complex!