Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hahahahhah maharage leo nimechoka nimenunua kila maharage yana bei yakeHongera kwa kuongeza siku za kuishi
Sembe imepanda bei ujue
Hahahahhah maharage leo nimechoka nimenunua kila maharage yana bei yakeHongera kwa kuongeza siku za kuishi
Sembe imepanda bei ujue
Asante Transcend kuwa pamoja jioni hii, na uzi umekimbia kweli kweliWakuu...
Shukrani naona nimekija kuchangamsha uzi wetu..
Nilimmiss sana sakayo wangu na ninyi pia..
Nawatakia kila la kheri...naomba mtu mmoja aendeleze Nukuu ya leo..
Nikirudi tutaendelea wotee..
Pamoja! One love..
JamaniiiiWakuu...

Nimeona aiseeUmeonaee
Asante ShululuHata mimi nimefurahi uwepo wako
Natumia dona ya kusaga mwenyewe, ila mahindi yamepandaHongera kwa kuongeza siku za kuishi
Sembe imepanda bei ujue
I will call you...ebu njo kwanza
Sijawahi inywa aiseeshemela mm ujue hata kwenye unywaji sipo inaweza pita hata miezi sinywiii ila heinken katamu bana
Umeonaee eeehHahahahhah maharage leo nimechoka nimenunua kila maharage yana bei yake
SitakiiiiI will call you...
HahahaNatumia dona ya kusaga mwenyewe, ila mahindi yamepanda
Jaribu siku moja nzuri sana haina hangover kabisa ni katamu cha baridiSijawahi inywa aisee
HunieI will call you...
Poa poa mkuuNext time pia mkuu nikirudi
Nimechoka ya mbeya 2600 ya njano 2800Umeonaee eeeh
limefanyaje jina la shemelaAsante Shululu
Mmmmh hilo jinaa