Makapuku Forum

Aliwauwa sana na alisema hivi nachokifanya sasa hamuwezi kukijua, ila baadaye mtaelewa

Swali, je asinge wauwa Dunia leo hii ingekuwaje?
Aliua mamilioni ya Wayahudi utafikiri anaua panzi tu ikiwemo kujenga kambi maalum za mateso

Ila aligundua mapema kwamba Wayahudi wana IQ kubwa na ni tishio kwa Wajerumani na ulimwengu ...ona sasa hivi wanavyosumbua kiteknolojia na hata kijeshi mfano waliweza kuwakung'uta Waarabu wa Syria walioungana na Misri.Jordan na Iraq na kuichukua Jerusalem na Ukanda wa Gaza
.....
..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…