Makapuku Forum

Mkuu umeongea maneno mazito sana
Pia Banana aliimba "Mama Yangu" na kwenye video akamshirikisha mama yake mzazi ambaye miaka michache baadaye ajafariki
Shukrani mkuu kwa muziki murua
.....
 
Yanga ubingwa wetu tayari
Anayebisha ni mchawi tu Ila mechi ya jana ilikuwa haswa baada ya Msuva kuumia wakati alifunga na hivyo kutoka
Wanyakyusa sijui walikuwa wanatafuta sifa...goli lao liloluwa maridadi hasa ukimuangalia kaka jambazi(Bossou) alivyopelekeshwa kea chenga hadi kulala chini
.
.
.
Shukrani mkuu kwa magazeti
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…