[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu ulikua huonyeshi ushirikiano kwa mtto wa watu we busy na kwa mama mchuchu tu ebu angalia shedede yupo busy naeMimi nilijua tu sitadumu maana kwa kuniwekea kauzibe utafikiri hatuna udugu. Kweli mchawi ndugu🙄
Roho yako binamu ipo hapa [emoji23][emoji23]BlessedHope mambo vipi mpendwa wangu wa moyo. Usiku mwema
Ameen mama [emoji120] mchuchu nimeisubili hii sala mpk nikalala bila sala[emoji524] ZABURI 55
16.Nami nitamwita Bwana naye ataniokoa
17.Jioni ,Asubuhi,na adhuhuri nitalalama na kuugua,Naye atasikia sauti yangu.
TUOMBE
Baba Mungu wa Mbinguni
Asante kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwavyote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu.
Usiku huu Baba ,nyoosha mkono wako tufunike Baba kama kuku afunikavyo vifaranga
Naenda kinyume na pepo wa chafu,nguvu za giza uchawi usiwe na nafasi katika malango yetu usiku wa leo.
Tunamuombea SHIMBA YA BUYENZE BABA mponye jino Baba wa mbinguni,mtoe katika maumivu makali aliyonayo ukamtulize mwili na roho.
Baba wafariji wafiwa,wajane yatima ponya wagonjwa wote.
Tuna malaika wako watakatifu wazunguke vitanda vyetu na waweke vituo majumbani mwetu,Baba linda nyumba zetu damu Takatifu ikaponye nyumba zetu kwa hatari zote za kimwili na kiroho maana imeandikwa "...BWANA asipoulinda mji yeye aulindaye akesha bure..." ZABURI 127:1b Kesha nasi BWANA
Tunaombea ndoa,familia ,watoto na wote katika familia zetu ziwe familia takatifu kama ile ya Yesu,Maria na Yoseph
Mungu Baba tunakuomba utuamshe salama tukiwa na nguvu za kukutumikia,Roho Mtakatifu shuka utuongoze katika safari yetu ya mbinguni.
Tunaomba yote katika jina la Yesu mpatanishi na mwokozi wetu.
Amen
Tunawaombea marehemu wote wapumzike kwa amani
USIKU MWEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23].....usiku huu mvua nyingi sana na bati linavuja hadi usingizi hakuna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole obe yote maisha
Na kwako pia dingimtotoJumapil njema..!!
View attachment 509020
sawa naona kweli umezimika [emoji23][emoji23]Shunie bwanaa mi nishazimika hapoo shedede nimempendajeee[emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama we ulivyomlove mama mchuchu....kwa hiyo mmeloviana!? Safi sana
Mornie shemela umeamkajeMorning all kapuku
Kisa kitwanga aliongea ukweli hiko chama jamaan
Wanaume wa Dar mupooooo ya chips inawahusu
Sante shemela kwa magazeti ubarikiwe sanaMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Kwa udhamini mnono wa binamu Obe, nawatakieni jumapili njema
kweli mapenzi mubashara mpk avatar [emoji23][emoji23]Ndiooo
Nikiona hivyo umempata wa kukupenda nasikia rahaa nasubilia thread yake tu chitchat [emoji23][emoji23]Asante mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mke wa mtu huyo binamu muke ya mukongoAsante sana shululu kwa magazeti na kunirusha leo kama mdhamini. Ila huwa napenda kweli kudhamini magazeti na BlessedHope
Jumapili njema makapuku, na Tufurahia Siku ya Mama Kimataifa
Mama mchuchu shikamoo mama angu, happy mother's dayAmen Obe siku njema ,jumapili njema tukisherehekea siku yetu najivunia kuwa mama kwakweli ni fahari,asante unatujali ubarikiwe sana
Hata siweki kwa taarifa yako sasa[emoji57]Nikiona hivyo umempata wa kukupenda nasikia rahaa nasubilia thread yake tu chitchat [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ha hahha, tupike nyumbani tena, za nyumbani utasubirishwa? Raha ya chipsi kusubirishwa
Khaaa huyu wa mukongo naona mukongo kuibiwa...hebu naomba link ya hichi kilugha
Afu msimfuateuate sana mama mchungaji, nitawaroga
[emoji120] [emoji120]Mungu akuponye SHIMBA YA BUYENZE TUNAKUOMBEA NDUGU YETU,DAMU YA YESU INENE MEMA[emoji120] [emoji120]