Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Mimi mzima mpendwa za huko?
.....usiku huu mvua nyingi sana na bati linavuja hadi usingizi hakuna
Mimi mzima mpendwa za huko?
Polee sana hizi mvua hizi hatari kwetu zimepungua leo usiku huu hainyeshi.....usiku huu mvua nyingi sana na bati linavuja hadi usingizi hakuna
ThanksJumapil njema..!!
View attachment 509020
kwani hujui ndo kashakuwa wangushedede mbona nakuona unazidisha uchangamfu humu kwa husna muba
pole obe yote maishaMimi nilijua tu sitadumu maana kwa kuniwekea kauzibe utafikiri hatuna udugu. Kweli mchawi ndugu🙄
asante nakwako pia mungu akubarikiJumapil njema..!!
View attachment 509020
Hawezi banaa mii nishakuloveunamaana na unaweza ninyang'nya sio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie bwanaa mi nishazimika hapoo shedede nimempendajeee[emoji17][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unatakiwa utambue hilo nimemtoa kwa binamu
Hata mm sitaki kukupoteza shedede wangu love youlove is the fealing ok aya basi wacha nifate vile unataka sitaki mpoteza husna wangu
ndomana namimi nikatanguliza kumwambia kwamba ameweza kuunganisha ila kutengenisha itakuwa ngumu mwanzo LOVE IS FEELINGS asante my bby uzidi kunipenda more n more and i love u more n moreHawezi banaa mii nishakulove
woyoooo[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji4] [emoji8] [emoji8]Shunie bwanaa mi nishazimika hapoo shedede nimempendajeee[emoji17]
waooo[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] penda wewe more i can't explainHata mm sitaki kukupoteza shedede wangu love you
Hawezi banaa mii nishakulove