Makapuku Forum

kama kawaida yako lazima uniangushe
Mkuu nikuangushe kivipi tena? Husna kasema anatibu wenye matatizo ya meno. Na mimi jino linanisumbua. Sasa kweli hapo kosa langu liko wapi? Nilitaka tu kujua kama hutaghafirika ukiniona. Na umetafutwa kuanzia Jumatatu hupatikani. May be Husna kajikatia tamaa....
 
Muombe shedede akikukubalia uje pm nikuelekeze dawa
 
mi nikaogopa nikadhani labda unanizibia ridhiki yangu aisee ........ kumbe poa saiv husna ndo my wify so naomba heshima ipande kidogo......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…