Samtaimu uwe unaangalia ukubwa wa kosa km limepoteza mantiki ya kilichoandikwa/kusudiwa
Mimi niliandika Nollywood ila simu ilibadili N ikawa B hivyo Ikasomeka Bollywood na sikuona
Ila kila mtu anajua Nigeria ni Bollywood
Unaweza uksandika "uwe" lakini simu ikabadili na kuwa "use"
Tushupalie makosa makubwamakubwa yenye umuhimu na sio vitu vidogodogo
Tukutane kesho
Usiku Mwema
.............