Mmh [emoji134] [emoji134] mama mchuchu jamaan nisamehe si unajua humu utani mwingi mama anguMdomo unaumba acha kujitamkia mambo yasiyo kweli,yakitokea utaomba nikuombee,siku utashtukia transfer from masaki to manzese kambi ya fisi.
Hizi fake ID 's zinatufanya tutamke mengiiiii, Mungu atusaidie tupone[emoji120]
Hebu sikiza khs ULIMI
[emoji524] YAKOBO 3
9.Kwa huo twsmhimidi Mungu Baba yetu ,na kws huo twalaani wanadamu waliofanywa kws mfano wa Mungu.
10.katika kinywa kilekile kwatoka baraka na laana
Hebu tujitabirie mema na mazuri,sisemi manzese ni pabaya lakini sifa ya uwanja wa fisi wote tumewahi isikia hivi kweli mpendwa wangu Shunie unapenda kuishi hapo,basi tafuta mahali pengine hatutakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio ulichoambua eehakuna mbadala wa neno "pm" huko ehn
Aisee lee wangu ukuje tu mengi yanakupita[emoji109] [emoji109] [emoji123]
Jipuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...
Jamaan ile ist vipiiiii [emoji134]
Gari alilokabidhiwa Miss Tz
Limezidiwa hata na like Mr Bean Goes To Town
Ni aibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]njoo tule
hahahhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakudanganyaaah sawaaa
Asante barikiwa sanaMdomo unaumba acha kujitamkia mambo yasiyo kweli,yakitokea utaomba nikuombee,siku utashtukia transfer from masaki to manzese kambi ya fisi.
Hizi fake ID 's zinatufanya tutamke mengiiiii, Mungu atusaidie tupone[emoji120]
Hebu sikiza khs ULIMI
[emoji524] YAKOBO 3
9.Kwa huo twsmhimidi Mungu Baba yetu ,na kws huo twalaani wanadamu waliofanywa kws mfano wa Mungu.
10.katika kinywa kilekile kwatoka baraka na laana
Hebu tujitabirie mema na mazuri,sisemi manzese ni pabaya lakini sifa ya uwanja wa fisi wote tumewahi isikia hivi kweli mpendwa wangu Shunie unapenda kuishi hapo,basi tafuta mahali pengine hatutakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee akili zake anajua mwenyewe
Huyu mzee Hii Wizara haimfai
.....
Mfyuuuunaaam
umeniita
tunasubilia kwa hamuTOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo
Karibuni
..........
Ebu chagua basi kati ya shedede au binamu obe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawaTena nitatulia km MTU anaejamba
Aisee10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufundi
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo kasema ukweli wake[emoji23][emoji23][emoji23] na kweli uhandsome huo vipiiiii jitu linatisha
Mmh we msukuma subili kwanzaJamani eeh! Shedede kapotea. Sasa Husna utamsubiri mpaka lini? Wakati mijibaba tena ya nguvu tupo hapa? Shunie rekebisha mambo please ili Shimba na Husna IKIWEZEKANA wawe couple mpya hapa Makapuku. Husna (jina zuri hili!) unasemaje?
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]Mmh [emoji134] [emoji134] mama mchuchu jamaan nisamehe si unajua humu utani mwingi mama angu
Milele daima [emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] makapuku idumu