Makapuku Forum

Inafundisha sana hii story sisi wanawake tunavumilia mengi sana mke ni wa kumuheshimu sana na kumthamini kijari na kukithamini ulichonacho sio mpk kipotee
 
Mmmh yaani mioyo ya wanawake wengi inavuja damu.

Asante kwa ujumbe huu
 
Kwa kweli hapa hekima za mama mchungaji zinahitajka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…